Uchaguzi wa Marekani 2024
Habari Kuu
Uchaguzi wa Marekani 2024: Ni lini tutajua nani ameshinda uchaguzi?
Matokeo ya uchaguzi wa Marekani wakati mwingine hutangazwa ndani ya saa chache baada ya vituo kufungwa. Na katika baadhi ya kinyang'anyiro cha urais mshindi alitangazwa usiku wa siku ya uchaguzi, au mapema asubuhi iliyofuata.
Sababu 10 zinazoweza kumpatia ushindi Harris au Trump
Imesalia siku moja tu, ambapo kinyang'anyiro cha kuwania Ikulu ya White House kimepamba moto - katika ngazi ya kitaifa na katika majimbo muhimu zaidi yanayoshindaniwa.
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, kuna pengo la kijinsia katika uchaguzi huo?
Mara ya mwisho mwanamke kugombea urais, ilikuwa ni miaka minane iliyopita – pale Hillary Clinton alipokuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa na Democratic.
Je, uchaguzi wa Marekani unaweza kubadilisha dunia kwa jinsi gani?
Rais mpya wa Marekani atalazimika kufanya kazi katika ulimwengu unaokabiliwa na mapambano makubwa zaidi tangu zama za Vita Baridi, kati ya mataifa makubwa.
Ndani ya jimbo ambalo vita vya Mashariki ya Kati vinaweza kubadili matokeo ya uchaguzi wa Marekani
Siku ya kupiga kura inapokaribia katika uchaguzi wa rais wa Marekani, jumuiya ya Wamarekani wa Michigan inajikuta katika njia panda.
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Marekani itaendelea kuiunga mkono au kuitelekeza Ukraine baada ya uchaguzi?
Wafuatiliaji wa mambo wanakubali kwamba ushindi wa Kamala Harris utapokelewa vizuri zaidi huko Kyiv kuliko muhula wa pili wa Donald Trump.
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, kwanini watafuta hifadhi wa Afrika wana wasiwasi?
Kutokana na ongezeko la idadi ya Waafrika wanaotafuta hifadhi na wahamiaji wa kiuchumi nchini Marekani, uchaguzi ujao wa rais unaweza kuunda upya mustakabali wao wote.
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Trump na Harris wana sera gani?
Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera za wawili hao.
Kura za maoni za uchaguzi wa Marekani: Nani anaongoza - Harris au Trump?
Kungalia kwa kina kura za maoni zinasema nini- kile inatuambia au haiwezi kutuambia kuhusu ni nani atashinda kinyanganyiro cha kuingia Ikulu ya White House.
Majimbo saba yatakayoamua mshindi wa uchaguzi wa Marekani 2024
Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, North Carolina, Pennsylvania na Wisconsin zinaweza kuwa muhimu katika uchaguzi wa Novemba.
































