BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
“Rais wa mpito wa Venezuela hawezi kuaminiwa” – asema Machado
Machado pia amemshukuru rais wa Marekani, Donald Trump kwa operesheni ya kumwondoa Nicolas Mduro madarakani na kuongeza kuwa anataka kurudi Venezuela "haraka iwezekanavyo," baada ya kuwa mafichoni kwa miezi kadhaa.
Kwa nini Maduro alifungwa macho na kuzibwa masikio alipokamatwa?
Picha ya kwanza ya Nicolás Maduro baada ya kuzuiliwa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani Jumamosi hii itasalia katika kumbukumbu ya wengi.
Mfahamu kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Maria Corina Machado
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Venezuela Maria Corina Machado ameapa kuwa atarudi nyumbani haraka, huku akimsifu Rais wa Marekani Donald Trump kwa kumpindua adui yake Nicolas Maduro
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
'Mimi ni mfungwa wa kivita' - Yaliyojiri Maduro alipofikishwa mahakamani
Wakati wa kesi hiyo iliyodumu kwa dakika 40, Maduro na mkewe, Cilia Flores, walikana mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya na kumiliki silaha.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Rashford kurejea Man United?
Marcus Rashford anaweza kurejea Manchester United, wachezaji watatu wanaweza kusalia Old Trafford baada ya Ruben Amorim kuondoka, na Juventus wanataka Federico Chiesa arejee.
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Nani anaweza kuwa meneja wa kudumu wa Man Utd?
Baada ya kuhudumu kwa miezi 14 pekee, Ruben Amorim alifutwa kazi siku ya Jumatatu kufuatia ukosoaji wake wa hivi punde dhidi ya uongozi wa klabu.
Trump anataka mafuta ya Venezuela, Je, mpango wake utafanikiwa?
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Cilia Flores ni nani, na sababu za kukamatwa kwake akiwa na Maduro ni zipi?
Ameonekana kwa muda mrefu kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, Flores pia amekabiliwa na tuhuma za ufisadi na upendeleo wa kifamilia.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Uchambuzi: Hatua ya Trump Venezuela inazisafishia njia tawala za kiimla duniani
Trump anaonekana kuamini kwamba yeye ndiye anayetunga sheria, na wengine hawawezi kuwa na haki au upendeleo kama wake
Januari imeanza, unaijua asili ya majina ya miezi 12 ya mwaka?
Kalenda tunayotumia leo imepitia mageuzi na marekebisho kadhaa kwa maelfu ya miaka, tangu asili yake katika ustaarabu wa kale wa Kirumi.
Kuishi kwa hofu ya Lakurawa - kundi la wanamgambo lililoshambuliwa na Trump nchini Nigeria
"Hatuwezi kuishi kwa uhuru. Huweze hata kusikiliza muziki" - wakazi waiambia BBC kuhusu utawala wa wanamgambo.
Marais watano wa Afrika walioondoka madarakani kwa hiari
Tangu uhuru, baadhi ya viongozi wameondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na mauaji. Katika mazingira haya, visa vya marais wa Afrika kuondoka kwa hiari katika nafasi ya juu ya utawala ni nadra.
Je, siasa za Kenya 2026 zinaanzaje bila Raila Odinga?
Mwaka huu Kenya ilimpoteza mmoja wa watu wake mashuhuri kwa jina la Raila Amolo Odinga, mmoja wa wanasiasa waliodumu nchini humo, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80.
Habari 10 zilizosomwa sana BBC mwaka 2025
Kwa mwaka 2025, BBC Swahili kupitia mfumo wake wa uchambuzi wa usomaji Telescope ilishuhudia ongezeko kubwa la wasomaji katika habari zilizogusa siasa, uchaguzi, usalama, michezo na ubunifu barani Afrika.
MQ-9A Reaper: Ndege isiyo na rubani hatari zaidi duniani
Kwa mujibu wa taarifa rasmi na picha zilizochapishwa hivi karibuni, sasa kuna ndege saba za aina ya MQ-9A Reaper zinazofanya kazi katika eneo la Caribbean, ishara ya wazi ya kuimarika kwa ufuatiliaji wa anga.
Kwanini Israel imezishambulia nchi hizi 7?
Kupitia ripoti za Armed Conflict Location and Event Data (ACLED), kati ya Januari 1 hadi Desemba 5, 2025, Israel imefanya takribani mashambulizi 10,631, katika nchi zisizopungua saba duniani, ikiwa nchi iliyofanya mashambulizi kwenye nchi nyingi zaidi duniani kwa mwaka huu.
Krisimasi ni nini na ni kwanini Wakristo wanaisherehekea?
Kila mwaka, duniani kote, Wakristo wengi husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo Siku ya Krismasi, tarehe 25 Disemba. Ni siku - na msimu - ulioyojaa nyimbo za Krismasi, kupamba miti, kupeana zawadi na karamu . Na, kati ya sherehe zote, unaweza kujiuliza: Ni nini maana halisi ya Krismasi? Au, kwa nini kuna utamaduni wa Krismasi? Je, una uhusiano gani na Yesu?
Watu maarufu duniani waliofariki 2025
Wakati tukielekea mwisho wa mwaka 2025, tudurusu vifo vya watu mashuhuru katika mwaka huu, ambao walikuwa maarufu katika kazi zao, kuanzia dini hadi michezo.
Meli 5 zenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani
Vita vya karibuni kati ya Urusi na Ukraine pamoja na mizozo ya Iran na Israel vinaonyesha kuwa nguvu ya meli inategemea zaidi ufahamu wa kiteknolojia, mfumo wa ulinzi, na uwezo wa kushambulia kwa haraka, kuliko ukubwa wa jadi au idadi ya wanajeshi. Ndiyo maana uwekezaji wa meli za kivita unakuwa jambo la kimkakati duniani.
Jinsi ya kujilinda dhidi ya walaghai mitandaoni msimu wa Krismasi
Walaghai wa mtandaoni hawana mipaka wanaweza kuwa popote, lakini hupendelea watu wanaonunua bidhaa mtandaoni.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 6 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 5 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 2 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




























































