BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Mtandao wa intaneti warejeshwa Uganda
Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa Uganda kuzima mtandao wa intaneti wakati wa uchaguzi kwa sababu za usalama wa kitaifa.
Ushindi wa muhula wa saba wa Museveni unamaanisha nini kwa Uganda?
Yoweri Museveni ameshinda muhula wa saba katika uchaguzi baada ya kuahidi kuwa sekta changa ya mafuta itainua uchumi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Chelsea itafanikiwa kumsajili mlinzi huyu wa Ufaransa?
Chelsea inajiandaa kulipa £43m kwa Jeremy Jacquet, Napoli inamfukuzia Evan Ferguson, na Bournemouth inamtaka Christos Mandas.
Maoni: Utawala wa kimabavu huporomoka polepole, lakini wa Iran haujafikia huko
Waandamanaji nchini Iran na wafuasi wao nje ya nchi wana matumaini kwamba utawala wa Kiislamu jijini Tehran uko katika hatua ya kuporomoka. Hilo ni kweli?
AFCON 2025: Je, fainali itakuwa 'mchezo wa mwisho' wa Mané na timu ya taifa ya Senegal?
Sadio Mané ataisaidia Senegal kushinda taji dhidi mwenyeji Morocco baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 kusema hii itakuwa “fainali yake ya mwisho ya Afcon.”?
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Uchaguzi Uganda 2026: 'Siko nyumbani, nilikwepa uvamizi wa jeshi na polisi' asema Bobi Wine
Kuhusu alipo kwa sasa, Wine amesema “Nataka kuthibitisha kwamba nilifanikiwa kuwatoroka. Kwa sasa, siko nyumbani, ingawa mke wangu na wanafamilia wengine bado wako chini ya kizuizi cha nyumbani.
Sababu tatu za kutokwa na damu kwenye kinyesi
Watu wengi hufadhaika wanapoona damu kwenye kinyesi chao, wakidhani ni tatizo kubwa, kama saratani ya tumbo.
Matokeo ya uchaguzi Uganda 2026: Bobi Wine yuko wapi?
Polisi nchini Uganda wamekanusha madai kwamba mgombea kiti cha urais nchini humo kwa tiketi ya chama cha National Unity (NUP) Robert Ssentamu Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine Pamoja na mke wake Barbara Kyagulanyi wamekamatwa.
"Tulidanganywa": Jinsi mwanamke alivyowarubuni wanaume wa kigeni kupigana kwenye mstari wa mbele wa Urusi
Azarnykh mara kwa mara huchapisha video zake akiwahamasisha watu kujiunga na kuhudumu katika jeshi la Urusi.
Matokeo ya uchaguzi Uganda 2026
Uchaguzi huu ni kinyang'anyiro cha marudiano kati ya Bobi Wine na Yoweri Museveni, ambaye amekuwa rais kwa miaka 40.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Sababu zilizofanya Somalia iwe na ghadhabu kali dhidi ya UAE
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Rais Trump ana lengo gani hasa na Iran?
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Uchaguzi Uganda 2026: Waganda wengi ni vijana – Watamchagua Mzee wa miaka 81?
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Kuolewa nikiwa na miaka 40: ''Hakuna kikomo cha umri wa kupata upendo wa kweli"
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu, na safari ya maisha," anashughulikia.
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Sababu 5 za kutazama siku zijazo kwa matumaini
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.
Maduro ni nani na kwanini Marekani imemkamata?
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
Kutoka Noriega hadi Maduro fahamu viongozi waliowahi kukamatwa au kuangushwa na Marekani
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 19 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































