Katika picha: Uharibifu na hofu wakati vita vinavyoikumba Ukraine

Vikosi vya kijeshi vya Urusi vimeanza mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi jirani ya Ukraine, na kuvuka mipaka yake na kushambulia maeneo ya kijeshi karibu na miji mikubwa.

Rescuers work at the crash site of a Ukrainian Armed Forces' Antonov aircraft, shot down in the Kyiv region, Ukraine

Chanzo cha picha, Ukrainian State Emergency Service / Reuters

Maelezo ya picha, Katika picha kutoka huduma ya dharura ya Jimbo la Ukraine, waokoaji wakifanya kazi katika eneo la ajali ya ndege ya Antonov ya Wanajeshi wa Ukrain, iliyodunguliwa katika mkoa wa Kyiv.
1px transparent line
Civilians shelter in a metro station in Kharkiv, Ukraine

Chanzo cha picha, Victoria Vota

Maelezo ya picha, Raia wakiwa wamejihifadhi katika kituo cha metro huko Kharkiv, Ukraine, katika picha iliyopigwa na Victoria Vota. "Tunajaribu kuwa na nguvu," alisema bi. Vota.
1px transparent line
Ukrainian servicemen stand on a tank as they get ready to repel an attack in Ukraine's Lugansk region.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wanajeshi wa Ukraine wakijitayarisha kushambulia mkoa wa Lugansk
1px transparent line
Black smoke rises from a military airport in Chuguyev near Kharkiv on February 24, 2022

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Moshi mweusi ukiwa unatoka uwanja wa ndege wa kijeshi huko Chuhuiv, karibu na Kharkiv.
1px transparent line
A man sits outside his destroyed building after bombings on the eastern Ukraine town of Chuhuiv on 24 February 2022

Chanzo cha picha, AFP

1px transparent line
A wounded woman is seen after an airstrike damaged an apartment complex in city of Chuhuiv, Kharkiv Oblast, Ukraine on 24 February 2022

Chanzo cha picha, Anadolu Agency via Getty Images

1px transparent line
Handout screengrab taken from CCTV issued by State Border Guard Service of Ukraine of Russian military vehicles moving across the border from Crimea into Ukraine (exact location not given), on 24 February 2022

Chanzo cha picha, State Border Guard Service of Ukraine / PA Media

Maelezo ya picha, Picha ya CCTV katika mpakani ikionesha magari ya kijeshi ya Urusi yakiingia Ukraine.
1px transparent line
Ukrainian firefighters try to extinguish a fire after an airstrike hit an apartment complex in Chuhuiv, Kharkiv Oblast, Ukraine on 24 February 2022

Chanzo cha picha, Anadolu Agency via Getty Images

1px transparent line
Ukrainian firefighters arrive to rescue civilians after an airstrike hit an apartment complex in Chuhuiv, Kharkiv Oblast, Ukraine on 24 February 2022

Chanzo cha picha, Anadolu Agency via Getty Images

Maelezo ya picha, Waokoaji wakijaribu kuwaokoa raia
1px transparent line
Smoke is seen coming out of a military installation near the airport, after Russian President Vladimir Putin authorized a military operation in eastern Ukraine, in Mariupol, 24 February 2022

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Moshi ukiwa unatokea karibu na uwanja wa ndege kusini mashariki mwa mji wa Mariupol.
1px transparent line
A handout photo made available by the Ukrainian Interior Ministry"s press service shows the aftermath of an explosion in the premises of a military unit building in Kyiv, Ukraine, 24 February 2022

Chanzo cha picha, EPA / Interior Ministry Press Service

1px transparent line
Police and security personnel inspect the remains of a shell in a street in Kyiv on 24 February 2022

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mjini Kyiv, polisi wakikagua katika mitaa mbalimbali
1px transparent line
People react standing behind the cordoned off area around the remains of a shell in Kyiv on 24 February 2022

Chanzo cha picha, AFP

1px transparent line
People wait at Kyiv Airport on 24 February 2022

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wakiwa uwanja wa ndege Kyiv .
1px transparent line
Ukrainian military helicopter flies over a gas station, after Russian President Vladimir Putin authorized a military operation in eastern Ukraine, outside the city of Dnipro, Ukraine 24 February 2022

Chanzo cha picha, Reuters

All pictures are subject to copyright.