Katika picha: Uharibifu na hofu wakati vita vinavyoikumba Ukraine

Vikosi vya kijeshi vya Urusi vimeanza mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi jirani ya Ukraine, na kuvuka mipaka yake na kushambulia maeneo ya kijeshi karibu na miji mikubwa.

All pictures are subject to copyright.