Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Muda wa kusoma: Dakika 1

Unatazama ukurasa wa tovuti ambao ni sehemu ya toleo la maandishi pekee ya tovuti ya BBC News Swahili ambayo inatumia data kidogo. Muhimu, maandishi yote ya makala zetu zote yanapatikana katika tovuti hizi za Maandishi pekee.

Lengo letu ni kutengeneza kurasa zinazofunguka kwa haraka zaidi na zisizo ghali kuwafikia watumiaji wanaozihitaji. Tunajua watumiaji wa BBC News World Service wanatoka duniani kote, na wanatumia gharama tofauti sana za data, kasi ya muunganisho wa mtandao na vifaa.

Ili uweze kurambaza kwa haraka na urahisi zaidi, tumeondoa alama nyingi za siri na kubadili hali ya utumiaji mahali fulani.

Kwa mfano, hutaona picha au maudhui yoyote yanayofanya kazi katika tovuti hizi za Lite. Hiyo haimaanishi hata kidogo kuwa hautaweza kuyafikia maudhui hayo , kwa vile tu yanapatikana katika toleo kuu la tovuti zetu.

Unaweza kuhamia kwenye kurasa hizo kwa urahisi kwa kufuata linki hii ukipenda.

Toleo hili la maudhui yetu ni jipya, na kwa hivyo bado ni kazi inayoendelea. Tunatumai ni muhimu kwa baadhi ya watumiaji wetu.