Tazama: Baiskeli ya kipekee iliyotengenezwa kutokana na mmea wa mwanzi
Kutana na Noordin Kasoma ambaye ameanzisha karakana ya kutengeneza fremu za baiskeli kutoka kwa mmea wa mwanzi.
Kupitia kampuni yake kwa jina ''Boogali'' Kijana huyu mjasiriamali pia anawaajiri vijana wenzake.
Mwandishi wetu Shuayib Ibrahim amemtembelea mjasiriamali huyo katika karakana yake huko Kabale magharibi mwa Uganda na kututumia ripoti hii.









