BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Mwanamuziki na kiongozi mwenye mamlaka makubwa: Yote unayostahili kujua kuhusu uchaguzi wa Uganda 2026
Wapiga kura wanaweza kumrejesha madarakani kiongozi ambaye angeingia katika muongo wa tano wa utawala wake, au kumuunga mkono mgombea anayetaka kuleta mabadiliko
Moja kwa moja, Maandamano Iran: Trump asema Marekani inalenga kuchukua hatua kali kukabiliana na mauaji ya waandamanaji
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliwa na maandamano makubwa zaidi tangu 2022 huku Trump akitishia mara kwa mara kuingilia kati kijeshi ikiwa nguvu kupita kiasi itatumika dhidi ya waandamanaji.
Je, kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi husababisha mshtuko wa moyo?
Vimelea vya nyumba ya uzazi vinaweza kuwa ishara ya mapema ya hatari ya magonjwa ya moyo kwa wanawake - utafiti.
Siri zinazozunguka operesheni ya kijasusi ya kumkamata Maduro
Maafisa wa Marekani wamesema walikuwa na chanzo maalum kilichotoa taarifa za kina kuhusu mahali alipo Maduro, jambo ambalo lilikuwa muhimu kwa operesheni hiyo.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa anataka muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Maandamano Iran: Jeshi linasimama wapi na serikali inataka nini?
Jeshi kwa kushirikiana na vikosi vingine vya usalama - limetangaza kwamba litalinda "maslahi ya kitaifa, miundombinu ya kimkakati ya nchi, na mali ya umma.”
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Everton yamtaka beki wa Arsenal Ben White
Everton wanataka kumnunua Ben White wa Arsenal, Borussia Dortmund wanaifuatilia hali ya Oscar Bobb katika klabu ya Manchester City na Tottenham bado wanamtaka Conor Gallagher wa Atletico Madrid.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
DNA ya Man Utd: Ni nini na ina mizani gani?
Wakati Manchester United inamtafuta mrithi wa Ruben Amorim, Phil McNulty anauliza ikiwa kile kinachojulikana kama "DNA" ya klabu ni kigezo muhimu?
Kuolewa nikiwa na miaka 40: ''Hakuna kikomo cha umri wa kupata upendo wa kweli"
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu, na safari ya maisha," anashughulikia.
UN yasema wakimbizi 53 wa Congo wafariki nchini Burundi
U.N imesema inashirikiana na wizara ya afya na washirika wengine kuchunguza chanzo cha vifo vingine.
Sababu 5 za kutazama siku zijazo kwa matumaini
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Trump anataka mafuta ya Venezuela, Je, mpango wake utafanikiwa?
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Maduro ni nani na kwanini Marekani imemkamata?
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
Kutoka Noriega hadi Maduro fahamu viongozi waliowahi kukamatwa au kuangushwa na Marekani
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
Cilia Flores ni nani, na sababu za kukamatwa kwake akiwa na Maduro ni zipi?
Ameonekana kwa muda mrefu kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, Flores pia amekabiliwa na tuhuma za ufisadi na upendeleo wa kifamilia.
Hatua ya Trump Venezuela yaishangaza China - Je, ni tishio kwa biashara zake?
Hatua ya Marekani ya kumkamata Nicolás Maduro inaiweka China, ambayo haishabikii machafuko katika njia panda.
Uchambuzi: Hatua ya Trump Venezuela inazisafishia njia tawala za kiimla duniani
Trump anaonekana kuamini kwamba yeye ndiye anayetunga sheria, na wengine hawawezi kuwa na haki au upendeleo kama wake
Januari imeanza, unaijua asili ya majina ya miezi 12 ya mwaka?
Kalenda tunayotumia leo imepitia mageuzi na marekebisho kadhaa kwa maelfu ya miaka, tangu asili yake katika ustaarabu wa kale wa Kirumi.
Marais watano wa Afrika walioondoka madarakani kwa hiari
Tangu uhuru, baadhi ya viongozi wameondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na mauaji. Katika mazingira haya, visa vya marais wa Afrika kuondoka kwa hiari katika nafasi ya juu ya utawala ni nadra.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 12 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 12 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 12 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani

























































