BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Madaktari Iran wadai kuzidiwa na majeruhi huku maandamano yakiendelea
BBC imepokea ujumbe kutoka kwa daktari katika hospitali moja akisema haikuwa na madaktari bingwa wa kutosha kukabiliana na ongezeko la wagonjwa.
UN yasema wakimbizi 53 wa Congo wafariki nchini Burundi
U.N imesema inashirikiana na wizara ya afya na washirika wengine kuchunguza chanzo cha vifo vingine.
Trump aonya juu ya mashambulizi zaidi Nigeria ikiwa Wakristo 'wataendelea kuuawa'
Serikali ya Nigeria imekanusha shutuma za awali za Trump kwamba inashindwa kuwalinda Wakristo kutokana na mashambulizi ya jihadi.
Sababu 5 za kutazama siku zijazo kwa matumaini
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.
Je, kukamatwa kwa Rais wa Venezuela na Marekani kutaathiri vipi hatua za China na Urusi?
Huku Nicolas Maduro wa Venezuela akikabiliwa na mashtaka nchini Marekani, wataalam wanazingatia kama kukamatwa kwake kunaweza kuzitia moyo China na Urusi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi - Arsenal inamfuatilia Livramento
Arsenal inamfuatilia Tino Livramento kama mchezaji anayeweza kusajiliwa msimu huu wa joto, Aston Villa inatafuta kufikia makubaliano na Conor Gallagher huku Dominik Szoboszlai akikaribia kukubali kuongeza mkataba Liverpool.
Kiongozi wa Iran asema waandamanaji ni "waharibifu" wanaojaribu "kumfurahisha Trump"
Iran imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikiilaumu Marekani kwa kuyageuza maandamano hayo kuwa kile ilichokiita "vitendo vya uasi na uharibifu ulioenea" huku Trump naye akisema Iran iko "katika matatizo makubwa".
Jinsi Donald Trump anavyoweza "kuichukua" Greenland?
Rais wa Marekani Donald Trump anataka kuchukua madaraka ya Greenland na Ikulu ya White House imethibitisha kwamba chaguzi zote, ikiwa ni pamoja na kutumia nguvu za kijeshi, ziko mezani.
Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - rubani aifichulia BBC
Rubani wa zamani wa jeshi la anga anaelezea jinsi alivyotekeleza kazi ya siri ya kuusafirisha mwili wa Siad Barre nyumbani kwa mazishi.
Uchambuzi: Kwanini Trump amemchagua Makamu wa Rais wa Maduro badala ya mshindi wa Nobel
Je, ni nini kuhusu Delcy Rodríguez ambacho kilivutia macho ya utawala wa Trump?
Ni utajiri gani unaomvutia Trump katika kisiwa cha Greenland?
Akijibu swali kutoka BBC, Rais Trump amesisitiza kwamba anahitaji kisiwa cha Greenland kwa sababu za "ulinzi wa kitaifa".
'Hatuuzwi': Wakaazi wa Greenland waelezea hofu yao huku Trump akipanga kulitwaa eneo hilo
Wakaazi wa Greenland wameiambia BBC kwamba hawana haja ya kuwa Wamarekani White House ikirejelea nia yake ya kulichukua eneo hilo.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Trump anataka mafuta ya Venezuela, Je, mpango wake utafanikiwa?
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Maduro ni nani na kwanini Marekani imemkamata?
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
Kutoka Noriega hadi Maduro fahamu viongozi waliowahi kukamatwa au kuangushwa na Marekani
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
Cilia Flores ni nani, na sababu za kukamatwa kwake akiwa na Maduro ni zipi?
Ameonekana kwa muda mrefu kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, Flores pia amekabiliwa na tuhuma za ufisadi na upendeleo wa kifamilia.
Hatua ya Trump Venezuela yaishangaza China - Je, ni tishio kwa biashara zake?
Hatua ya Marekani ya kumkamata Nicolás Maduro inaiweka China, ambayo haishabikii machafuko katika njia panda.
Uchambuzi: Hatua ya Trump Venezuela inazisafishia njia tawala za kiimla duniani
Trump anaonekana kuamini kwamba yeye ndiye anayetunga sheria, na wengine hawawezi kuwa na haki au upendeleo kama wake
Januari imeanza, unaijua asili ya majina ya miezi 12 ya mwaka?
Kalenda tunayotumia leo imepitia mageuzi na marekebisho kadhaa kwa maelfu ya miaka, tangu asili yake katika ustaarabu wa kale wa Kirumi.
Marais watano wa Afrika walioondoka madarakani kwa hiari
Tangu uhuru, baadhi ya viongozi wameondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na mauaji. Katika mazingira haya, visa vya marais wa Afrika kuondoka kwa hiari katika nafasi ya juu ya utawala ni nadra.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




























































