Ushahidi unaoonesha Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23

Maelezo ya video, Ushahidi unaoonesha Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23
Muda wa kusoma: Dakika 1

Wataalam wa Umoja wa Mataifa wanaasema kuwa jeshi la Rwanda "linaongoza operesheni za M23", wakielezea jinsi makurutu wa M23 wanavyopewa mafunzo chini ya usimamizi wa Rwanda na kupewa silaha za hali ya juu za Rwanda. Mwandishi wa BBC Martha Saranga anaelezea zaidi.