Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda

Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda
Maelezo ya picha, Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda

Mvua ambazo hazikutarajiwa zimeshuhudiwa katika mji wa Kigali nchini Rwanda na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundo msingi.

Idadi ya watu waliofariki bado haujulikani lakini kuna hofu kuwa huenda hadi watu watano wameaga dunia na wengine kadha kuachwa bila makao.

Takriban nyumba 800, zikiwemo shule, makaazi ya watu pamoja na barabara kadha vimesombwa. Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda