Salamu zisizokuwa za kawaida nchini Cameroon

Chanzo cha picha, Twitter / @PaolaAudrey
Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa mitandaoni.
Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo na hata kuifanyia mabadiliko.

Chanzo cha picha, Twitter / @afrik2_radio
Mfano mwingine ulibuniwa.

Chanzo cha picha, Twitter / @CheyssonY
Huyu naye alishuka hata chini Zaidi.

Chanzo cha picha, Twitter / @waldrigue
Huyu jamaa naye aliamua kushuka.

Chanzo cha picha, Twitter / @zebstatou
Wanyama pia walishiriki.

Chanzo cha picha, Twitter / @zebstatou
Je umeiona hii?

Chanzo cha picha, Twitter / @Enn_Cee_Kay
Na hata mbuzi huyu alishirikishwa ambaye picha yake iliwekaa mtandao wa Facebook.

Chanzo cha picha, Facebook / CulturEbene












