Charles III: Mfalme mpya ni nani?
Charles, mrithi wa Ufalme aliyehudumu katika enzi katika historia ya Uingereza , sasa ni Mfalme, akidumu kwa miaka 70, imemfanya kuwa mfalme mpya aliyejiandaa zaidi na mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kuchukua kiti cha enzi.









