Picha bora za kutawazwa kwa Mfalme Charlse
Mfalme Charles na Malkia Camilla wametawazwa katika sherehe iliyosheheni muziki na ishara ndani ya ukumbi wa Westminster Abbey.

Chanzo cha picha, Ben Birchall / PA Media

Chanzo cha picha, Andrew Matthews / Pool

Chanzo cha picha, Andrew Matthews / Pool

Chanzo cha picha, Pool

Chanzo cha picha, PA Media

Chanzo cha picha, Yui Mok / PA Media

Chanzo cha picha, PA
Akiwa amevalia vazi la babu yake, Mfalme Charles alikula kiapo na kupakwa mafuta matakatifu, kabla ya Taji la kihistoria la St Edward kuwekwa kichwani mwake.

Chanzo cha picha, Aaron Chown / PA Media

Chanzo cha picha, Jonathan Brady / PA Media

Chanzo cha picha, Jonathan Brady / PA Media

Chanzo cha picha, Yui Mok / Pool
Mbunge wa Conservative Penny Mordaunt aliwasilisha upanga wenye vito vya sadaka kwa Mfalme.

Chanzo cha picha, Yui Mok / Pool

Chanzo cha picha, Jonathan Brady / PA Media
Malkia Camilla alitawazwa katika hafla fupi na kuvishwa Taji ya Malkia Mary. Hakula kiapo.

Chanzo cha picha, Jonathan Brady / PA Media
Baada ya sherehe hiyo, Mfalme na Malkia walifanya msafara katika mitaa ya katikati mwa London katika gari maalum la Dhahabu.

Chanzo cha picha, Dan Charity / Pool

Chanzo cha picha, Toby Melville / Pool

Chanzo cha picha, Lisi Niesner / Reuters

Chanzo cha picha, Clodagh Kilcoyne / Reuters
Mwana Mfalme Harry aliwasili bila mke wake, Meghan, Duchess wa Sussex.

Chanzo cha picha, Toby Melville / Pool

Chanzo cha picha, Richard Pohle / Pool
Mwanamfalme Louis akifuatilia yanayojiri huku akipiga miayo mara kwa mara

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters
Wageni waalikwa, ikiwa ni pamoja na Familia ya Kifalme, watu mashuhuri, viongozi wa kidini na wakuu wa nchi, waliketi kabla ya kuwasili kwa Mfalme.

Chanzo cha picha, Jacob King / PA Media

Chanzo cha picha, Jane Barlow / PA Media

Chanzo cha picha, PA

Chanzo cha picha, Getty Images

Chanzo cha picha, Jane Barlow / Pool

Chanzo cha picha, Jane Barlow / Pool

Chanzo cha picha, Jane Barlow / PA Media

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Dylan Martinez / Reuters

Chanzo cha picha, Gareth Cattermole / POOL
Picha zote zina haki miliki.












