Habari kwa picha: Tamasha la nyoka linalofanyika Italia kila mwaka

Chanzo cha picha, AFP
Kila mwaka katika kijiji cha Cocullo huko Italia, sanamu ya mtakatifu inayozungukwa na nyoka walio hai huzungushwa mitaani.
Tamasha hilo ambalo ufanyika kila Mei mosi kwa katika sanamu ya mtakatifu San Domenico di Sora ,
tamasha hilo lilianza kuadhimishwa tangu karne ya kumi na moja wakati ambapo nyoka waliondolewa kutoka kwa wakulima kwa namna ya kushangaza .
Hata hivyo , asili ya tamaduni hiyo ilianza kuabudiwa huko katikati mwa mji wa Angitia, na ilifahamika kama nyoka wa miungu wa Roman.

Chanzo cha picha, AFP
Watu wengine huwa wanavaa mavazi ya asili ya watu wa mji wa Abruzzo.

Chanzo cha picha, AFP
Wakamataji nyoka huwa wanawakamata nyoka aina nne ambao hawadhuru na kuwakabidhi kwa watu wanaoabudu nyoka hao.

Chanzo cha picha, AFP
Na taratibu, nyoka hao huwa wanawekwa kwenye sanamu ya mbao ya San Domenico .

Chanzo cha picha, AFP
Nyoka wengine wengi huwa wanaongezwa hadi sanamu ya San Domenico ikiwa imefunikwa kabisa nyoka.

Chanzo cha picha, AFP

Baada ya sanamu huyo kuvishwa nyoka mwili mzima, hubebwa na kuzungushwa barabarani ikiwa ndio utaratibu wa

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, AFP

Wakati wengi huwa wanaambatana na sanamu hiyo, wengine huwa wanaangalia kwa pembeni.
Baada ya tamasha hilo kumalizika, nyoka huwa wanaachiwa kurudi porini.

Chanzo cha picha, AFP
All images are subject to copyright












