G7 yaitaka China, kuchunguzwa dhidi ya uasili wa Corona

Viongozi wa nchi tajiri zaidi duniani G7 imeikemea China juu ya kukiuka haki za binadamu huko Xinjiang, na kuitaka Hong Kong kupewa uhuru wa kiwango cha juu pamoja na kutaka uchunguzi kamili kufanyika kubaini chanzo cha virusi vya corona nchini China.
Baada ya kujadili namna ya kuja na msimamo wa pamoja dhidi ya China, viongozi walitoa taarifa muhimu zaidi za mwisho kwa kuangazia China pamoja na Taiwan.
China kuibuka tena kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani , taifa hilo linadaiwa kufaidika na hali ya kisiasa na jografia iliyoko hivi karibuni, pamoja na kumalizika kwa vita baridi vya mwaka 1991.
Kukua kwa China pia kumeifadhaisha sana Marekani: Rais Joe Biden ameiondoa China kuwa mshindani wake mkuu na kuapa kukabiliana na China katika kukomesha unyanyasaji wa kiuchumi na kurejesha ukiukwaji wa haki za binadamu.
Tunahamasisha thamani yetu ikiwa ni pamoja na China kuheshimu haki za binadamu na uhuru wa msingi haswa kwa watu wa Xinjiang na haki hizo ni uhuru ambao uliwekwa na azimio la pamoja kwa ajili ya Hong Kong ," viongozi wa G7 walisema.
"Vilevile tunataka muda na uwazi kwa wataalamu wa sayansi kutoka Shirika la Afya Dunia WHO-kufanya utafiti juu ya chanzo cha wimbi la pili la mlipuko wa corona nchini China," G7 ilisema.

Chanzo cha picha, AFP
Awali Reuters iliripoti taarifa muhimu ya awali.
Kabla ya G7 kukosoa, China iliwaonya viongozi wa G7 kuwa siku za kufanya maamuzi kwa ajili ya mataifa madogo duniani zimeisha siku nyingi.
G7 ilisema pia kuwa inasisitiza umuhimu wa amani Taiwan , na kutaka kufikiwa kwa maridhiano ya amani.
"Tuna wasiwasi zaidi juu ya hali ilivyo Mashariki na Kusini mwa bahari ya China na tunapinga jaribio lolote la ongezeko la mvutano ," walisema.
Ajira za lazima
Vilevile G7 ilisema kuwa ina wasiwasi juu ya ajira za lazima katika alisema ilikuwa na wasiwasi juu ya kazi ya kulazimishwa katika minyororo ya usambazaji wa ulimwengu ikiwa ni pamoja na katika sekta za kilimo, umeme wa jua, na sekta ya nguo.
"Tuna wasiwasi juu ya mfumo wa wafanyaji kazi wao duniani kuwa wa lazima, wakiwemo wa nchini mwao, makundi ya wahitaji na wale walio wachache ikiwemo kwenye kilimo, umeme wa jua na viwanda vya nguo ," G7 alisema.
Beijing imekanusha madai hayo na kudai kuwa haya ni majaribio ya nguvu za Magharibi kuzuia China kukua kiuchumi , na inasema nguvu kubwa bado zinashikiliwa na fikra zilizopitwa na wakati baada ya miaka ya kuidhalilisha China
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa na makundi ya haki za kibinadamu zaidi ya watu milioni , haswa wa Uyghurs na waislamu wachache ambao walishikiliwa katika kambi miaka ya hivi karibuni huko a Xinjiang.
China imekanusha madai yote ya ajira za kulazmishwa au za unyanyasaji.
China ilikanusha uwepo wa kambi hizo lakini tangu imesema kuwa na vyuo vya ufundi. Mwishoni mwa mwaka 2019, China ilisema watu wote waliokuwa katika kambi walikuwa wamehitimu masomo yao.













