Olimpiki Tokyo 2020: Wanariadha wa Afrika wanaoangaziwa kufanya vyema

Mashindano ya Olimpiki ya Tokyo yalipangwa kufanyika mwaka 2020, lakini kutokana na janga la Corona, yakaahirishwa mpaka 2021. Michuano ya Olimpiki ya Tokyo inatarajiwa kuanza Julai 23, tunawamulika wanamichezo kutoka Africa ambao wanapigiwa upatu kufanya vizuri.

Wanamichezo hawa wamechaguliwa kutoka katika michezo tofauti, baadhi ambayo si maarufu barani Afrika. Kati ya wanamichezo hawa kuna wale ambao ni maarufu na hii si michuano yao ya kwanza, lakini kwa baadhi hii ni mara ya kwanza kwao kushiriki Olimpiki.

METHODOLOJIA:

Wanariadha hawa wanawakilisha nchi na kanda tofauti za bara la Afrika. Walichaguliwa kuingia katika orodha hii kutokana na uzoefu wao wa michezo ya Olimpiki, idadi ya medali walizoshinda na upekee wa michezo wanayoishiriki..

SIFA:

Orodha hii imeandaliwa na kuharirirwa na Nkechi Ogbonna, Princess Abumere na Muthoni Muchiri. Ubunifu umefanywa na Olaniyi Adebimpe na Millicent Wachira. Uzalishaji wa mtandaoni na: Purity Birir. Usaidizi wa ziada: Sally Morales na Celestine Karoney.

PICHA:

Getty Images, The International Basketball Federation, AFP, Nigerian News, Nigerian Rowing Canoeing and Sailing Federation, Nigerianews, Mekseb Debesay, Sailing Club of Mozambique, Giana Farouk, EPA, Press Focus/News Pix via PA, Erwythereyet via Twitter, Bruce Viaene via Olympics, ClimbZA, DW via Club of Mozambique.