Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jezi za mataifa yanayocheza Kombe la Dunia 2018 urusi
Mataifa yote 32 ambayo yanashiriki Kombe la Dunia mwaka huu yametoa jezi zao.
Hapa chini ni jezi za nyumbani ambazo wachezaji wa kila taifa watavalia uwanjani.
Jezi za Nigeria zilipoanza kuuzwa, zilinunuliwa zote siku ya kwanza. Watu milioni tatu walikuwa wameziagiza jezi hizo hata kabla zianze kuuzwa.
Kundi A
Urusi
Saudi Arabia
Misri
Uruguay
Kundi B
Ureno
Uhispania
Morocco
Iran
Kundi C
Ufaransa
Australia
Peru
Denmark
Kundi D
Argentina
Iceland
Croatia
Nigeria
Kundi E
Brazil
Uswizi
Costa Rica
Serbia
Kundi F
Ujerumani
Mexico
Sweden
Korea Kusini
Kundi G
Ubelgiji
Panama
Tunisia
England
Kundi H
Poland
Senegal
Colombia
Japan
Picha zote na Simon Hofmann kwa niaba ya Fifa