Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Habari katika picha: Nywele za kusokota zinavyowavutia wanawake wengi
Aude
"Ninapenda nywele zangu, ninapenda kuzitunza na ninapenda aina ya nywele zangu na rangi yake.
Huwa nnapata taarifa mbalimbali kuwa nywele za watu weusi huwa hazikui na huwa hazivutii.
Ada
Kuwa na nywele za kusotoka ni sehemu ya maisha yake.
Huu ni muonekano wake.
Aleah
Mama yangu mara zote alikuwa anapinga mimi kuweka dawa, alikuwa anataka nywele zangu zinyooke.
Lakini yeye anavutiwa na nywele zilivyo.
Elsie
Huwa nnapenda kuwa na nywele zangu za asili ingawa zaani nilikuwa nnasokota rasta tangu niko sekondari.
"Nilipoanza kuwa na nywele za asili, ninaamini kuwa safari ya utunzaji wa nywele zangu mpya ni jambo zuri.
Ninahisi kuwa ninazielewa nywele zangu vizuri.Ninaamini kuwa nguzo ya utunzaji nywele ni kuzielewa nywele zako na kuzipenda."
Roxanne
"Ninajivunia sana nywele zangu ambazo nimeanza kuweka mtindo huu miaka miwili iliyopita.
Samantha
"Nywele zangu ndio kitambulisho changu katika maisha yangu.
Nywele zinanipa ujasiri na muelekeo wa maisha yangu."
.