Kwa Picha : Tazama jinsi wanajeshi wa kigeni walivyoingia Urusi

Ni mbali kutoka eneo la Caribbean, Kusini mwa bahari ya China na Ghuba lakini Venezuela, China na Iran ziliwasilisha wanajeshi wao katika pwani ya Baltic kwa michezo ya kivita ilioandaliwa na Urusi ambayo imeimarisha ushirikiano wa kiusalama na mataifa hayo matatu.

Walionyesha ujuzi wao katika mchanga na majini katika jimbo la Kaliningrad.

Mwanamaji wa venezuela akipita katika maji katika eneo la Khmelevka

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mwanamaji wa venezuela akipita katika maji katika eneo la Khmelevka
Mwanajeshi wa Venezuela akijaribu kuruka juu wa nyaya yenye miba

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mwanajeshi wa Venezuela akijaribu kuruka juu wa nyaya yenye miba
Wanajeshi wa venezuela walikuwa takriban 5000

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wanajeshi wa venezuela walikuwa takriban 5000
Wanajeshi wa venezuela watengeza ngazi za binadamu

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wanajeshi wa venezuela watengeza ngazi za binadamu
Presentational white space
Wanamaji wa China wanaonekana wakimbeba mwenzao aliyejeruhiwa kuvuka ufukwe wa bahari

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wanamaji wa China wanaonekana wakimbeba mwenzao aliyejeruhiwa kuvuka ufukwe wa bahari
Waliojeruhiwa wanakabidhiwa kitengo cha matibabu cha Urusi

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Waliojeruhiwa wanakabidhiwa kitengo cha matibabu cha Urusi
Kwa waamaji wa China kuna kutambaa chini ya nyaya za miba

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Kwa waamaji wa China kuna kutambaa chini ya nyaya za miba
Jeshi la wanamaji wa China lina idadi ya maafisa 20,000 lakini linatarajiwa kupanuka hivi karibuni

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Jeshi la wanamaji wa China lina idadi ya maafisa 20,000 lakini linatarajiwa kupanuka hivi karibuni
Wanamaji wa Iran wabeba vitu vizito

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wanamaji wa Iran wabeba vitu vizito
Iran indaiwa kumiliki zaidi ya wanamaji 2,600

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Iran indaiwa kumiliki zaidi ya wanamaji 2,600
Michezo hiyo ya wanamaji ni mojawapo ya michezo ya kijeshi inayofanhyika Urusi ikifanyika kila mwaka tangu 2015

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Michezo hiyo ya wanamaji ni mojawapo ya michezo ya kijeshi inayofanhyika Urusi ikifanyika kila mwaka tangu 2015

Picha zote zimepigwa na Vitaly Nevar, Reuters.