Kwa Picha : Tazama jinsi wanajeshi wa kigeni walivyoingia Urusi

Ni mbali kutoka eneo la Caribbean, Kusini mwa bahari ya China na Ghuba lakini Venezuela, China na Iran ziliwasilisha wanajeshi wao katika pwani ya Baltic kwa michezo ya kivita ilioandaliwa na Urusi ambayo imeimarisha ushirikiano wa kiusalama na mataifa hayo matatu.

Walionyesha ujuzi wao katika mchanga na majini katika jimbo la Kaliningrad.

Picha zote zimepigwa na Vitaly Nevar, Reuters.