Vita vya Ukraine: Tazama jinsi kombora lilivyoshambulia maduka makubwa huko Kremenchuk
Contains disturbing scenes.
Picha za CCTV zilizotolewa na Rais Zelensky wa Ukraine zinaonyesha wakati kombora lilipopiga kituo cha ununuzi huko Kremenchuk.
Takriban watu 18 waliuawa katika shambulio hilo la Jumatatu na wengine kadhaa kujeruhiwa.









