Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo arudi Ghana salama
Mtoto mmoja kutoka Ghana ambaye alizaliwa viungo vyake vya tumbo vikiwa nje amerudi nyumbani baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza.
Mnamo mwezi Juali iliripotiwa kwamba mtoto mwenye umri wa miaka 3 Ethan Suglo alisafiri hadi nchini Uingereza baada ya fedha kuchangishwa ili kumwezesha kufanyiwa upasuaji huo wa kuokoa maisha yake.
Baada ya upasuaji uliofanikiwa ,BBC ilikuwa hapo kumuona mtoto huyo akikutanishwa na familia yake baada ya kurudi nchini Ghana.