Uhamisho wa Wachezaji Ligi Kuu England: Orodha kamili ya wachezaji waliouzwa na walionunuliwa na klabu za Uingereza EPL

Chanzo cha picha, Getty Images
Kipindi cha kuhama wachezaji England majira ya sasa ya joto kitafikia kikomo 9 Agosti siku ya Alhamisi ambayo ni wiki tatu mapema ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Klabu mbalimbali za Ligi Kuu ya England zimekuwa mbioni kuimarisha vikosi kwa kuwanunua wachezaji na pia kuwauza wengine.
Hapa chini ni orodha ya wachezaji walioondoka na waliojiunga na klabu hizo dirisha kuu la kuhama wachezaji mwaka 2018, kufikia sasa.

Chanzo cha picha, Getty Images
Waliohama siku ya mwisho Alhamisi 9 Agosti
*Kuwahamu wachezaji waliohama awali katika kila klabu, endelea kuisoma makala chini
- Danny Ings [Liverpool - Southampton] Mkopo
- Andre-Frank Zambo Anguissa [Marseille - Fulham] £22.3m
- Timothy Fosu-Mensah [Manchester United - Fulham] Mkopo
- Andre Gomes [Barcelona - Everton] Mkopo
- Yerry Mina [Barcelona - Everton] £27.19m
- Domingos Quina [West Ham - Watford] Ada Haijafichuliwa
- Luciano Vietto [Atletico Madrid - Fulham] Mkopo
- Martin Montoya [Valencia - Brighton] Ada Haijafichuliwa
- Federico Fernandez [Swansea - Newcastle] reported £6m
- Harry Arter [Bournemouth - Cardiff] Mkopo
- Caglar Soyuncu [Freiburg - Leicester] reported £19m
- Jordan Ayew [Swansea - Crystal Palace] Mkopo
- Joe Bryan [Bristol City - Fulham] £6m
- Sergio Rico [Sevilla - Fulham] Mkopo
- Peter Gwargis [Jonkopings Sodra IF - Brighton] Ada Haijafichuliwa
- Isaac Mbenza [Montpellier - Huddersfield] Mkopo
- Carlos Sanchez [Fiorentina - West Ham] Ada Haijafichuliwa
- Dan Burn [Wigan - Brighton] Ada Haijafichuliwa*
*Burn atarejea Wigan kwa Mkopo hadi Januari 2019
- Bernard [Shakhtar Donetsk - Everton] Bila Ada
- Leander Dendoncker [Anderlecht - Wolves] Mkopo
- Victor Camarasa [Real Betis - Cardiff] Mkopo
- Filip Benkovic [Dinamo Zagreb - Leicester] Ada Haijafichuliwa
- Lucas Perez [Arsenal - West Ham] Ada Haijafichuliwa
- Mateo Kovacic [Real Madrid - Chelsea] Mkopo
- Daniel Arzani [Melbourne City - Manchester City] Ada Haijafichuliwa

Chanzo cha picha, Getty Images
Everton imekamilisha usajili wa beki wa Barcelona Yerry Mina kwa dau la £27.19m pamoja na winga wa zamani wa klabu ya Shakhtar Donetsk na Brazil Bernard.
Barcelona imesema kuwa ina haki ya kumnunua Mina arudi katika timu hiyo huku Gomes akiigharimu Everton £2m
"Everton ndio timu iliofanikiwa zaidi katika historia ya vilabu vya Uingereza'', alisema Bernad
Bernard, 25, alikuwa hana kandarasi baada ya kuondoka katika klabu ya Ukraine ya Shakhtar Donetsk mwezi Juni.
Aliichezea Brazil mara 14 , akifunga mara moja huku akiichezea mara ya mwisho timu hiyo katika kombe la dunia la 2014

Chanzo cha picha, Getty Images

Arsenal
Walioingia
Bernd Leno [Bayer Leverkusen] £19.3m, Stephan Lichtsteiner [Juventus] bila ada, Matteo Guendouzi [Lorient] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Lucas Torreira [Sampdoria] £26m, Sokratis Papastathopoulos [Borussia Dortmund] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Walioondoka
Marc Bola [Blackpool] bila ada, Jack Wilshere [West Ham] Bila ada, Santi Cazorla [Villarreal] bila ada, Chuba Akpom [PAOK Salonika] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Calum Chambers [Fulham] Mkopo

Bournemouth
Walioingia
Diego Rico [Leganes] £10.7m, David Brooks [Sheffield United] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Jefferson Lerma [Levante] £25m
Walioondoka
Ryan Allsop [Wycombe] Bila ada, Max Gradel [Toulouse] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Sam Matthews [Bristol Rovers] bila ada, Benik Afobe [Wolves] £10m, Lewis Grabban [Nottingham Forest] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Adam Federici [Stoke] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Sam Surridge [Oldham] Mkopo, Baily Cargill [MK Dons] Bila ada

Brighton
Walioingia
Florin Andone [Deportivo La Coruna] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Leon Balogun [Mainz] bila ada, Alireza Jahanbakhsh [AZ Alkmaar] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Percy Tau [Mamelodi Sundowns] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Yves Bissouma [Lille] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Bernardo [RB Leipzig] £9m
Walioondoka
Jamie Murphy [Rangers] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Bailey Vose [Colchester] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Tyles Forbes [Newport] bila ada, Christian Walton [Wigan] Mkopo, Ben Hall [Notts County] Mkopo, Robert Sanchez [Forest Green] Mkopo, Connor Goldson [Rangers] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Tim Krul [Norwich] Bila ada, Steven Alzate [Swindon] Mkopo, Sam Baldock [Reading] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Burnley
Walioingia
Ben Gibson [Middlesbrough] £15m, Joe Hart [Man City] £3.5m, Matej Vydra [Derby], Ada ya uhamisho haikufichuliwa.
Walioondoka
Tom Anderson [Doncaster] bila ada, Scott Arfield [Rangers] bila ada, Josh Ginnelly [Walsall] bila ada, Chris Long [Fleetwood] bila ada, Dean Marney [Fleetwood] bila ada, Brad Smith [Seattle Sounders] Mkopo

Cardiff
Walioingia
Bobby Reid [Bristol City] £10m, Alex Smithies [QPR] £3.5m, Greg Cunningham [Preston] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Josh Murphy [Norwich] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Walioondoka
Lee Camp [Birmingham] Bila ada,

Chelsea
Walioingia
Robert Green [Huddersfield] bila ada, Jorginho [Napoli] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Kepa Arrizabalaga [Athletic Bilbao] £71m

Chanzo cha picha, Getty Images
Walioondoka
Lewis Baker [Leeds] Mkopo, Reece James [Wigan] Mkopo, Dujon Sterling [Coventry] Mkopo, Nathan Baxter [Yeovil] Mkopo, Trevoh Chalobah [Ipswich] Mkopo, Jacob Maddox [Cheltenham] Mkopo, Charlie Colkett [Shrewsbury] Mkopo, Todd Kane [Hull] Mkopo, Mason Mount [Derby] Mkopo, Jamal Blackman [Leeds] Mkopo, Kenedy [Newcastle] Mkopo, Jordan Houghton [MK Dons] Bila ada, Jake Clarke-Salter [Vitesse Arnhem] Mkopo, Fikayo Tomori [Derby] Mkopo

Crystal Palace
Walioingia
Vicente Guaita [Getafe] Bila ada, Cheikhou Kouyate [West Ham] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Max Meyer [Schalke - Crystal Palace] Bila ada
Walioondoka
Jaroslaw Jach [Caykur Rizespor] Mkopo


Chanzo cha picha, Getty Images
Everton
Walioingia
Richarlison [Everton] £35m, Lucas Digne [Barcelona] £18m
Walioondoka
Wayne Rooney [DC United] bila ada, Ramiro Funes Mori [Villarreal] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Jose Baxter [Oldham] bila ada, Callum Dyson [Plymouth] bila ada, Conor Grant [Plymouth] bila ada, Davy Klaassen [Werder Bremen] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Luke Garbutt [Oxford] Mkopo, Ashley Williams [Stoke] Mkopo

Fulham
Walioingia
Andre Schurrle [Borussia Dortmund] Mkopo, Fabri [Besiktas] Ada ya uhamisho haikufichuliwad (inadaiwa kuwa £5m), Maxime le Marchand [Nice] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Jean Michael Seri [Nice] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Aleksandar Mitrovic [Newcastle United - Fulham] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Alfie Mawson [Swansea City] £20m, Calum Chambers [Arsenal] Mkopo
Walioondoka
Isaac Pearce [Forest Green Rovers] bila ada, George Williams [Forest Green Rovers] bila ada, Ryan Fredericks [West Ham] bila ada, Marek Rodak [Rotherham United] mkopo, David Button [Brighton] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Stephen Humphrys [Scunthorpe United] Mkopo, Joe Felix [QPR] Mkopo


Chanzo cha picha, Getty Images

Huddersfield
Walioingia
Juninho Bacuna [FC Groningen] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ramadan Sobhi [Stoke City] £5.7m, Terence Kongolo [Monaco] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ben Hamer [Leicester City] Bila ada, Adama Diakhaby [Monaco] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Erik Durm [Borussia Dortmund] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Walioondoka
Robert Green [Chelsea] Bila ada, Tom Ince [Stoke] £10m, Tareiq Holmes-Dennis [Bristol Rovers] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Sean Scannell [Bradford] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Joel Coleman [Shrewsbury] Mkopo, Jordan Williams [Barnsley] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Scott Malone [Derby] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Leicester
Walioingia
James Maddison [Norwich] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Jonny Evans [West Brom] £3.5m, Danny Ward [Liverpool] £12.5m, Ricardo Pereira [Porto] £17.7m, Rachid Ghezzal [Monaco] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Walioondoka
Connor Wood [Bradford] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ben Hamer [Huddersfield] Bila ada, Daniel Iverson [Oldham] Mkopo, Harvey Barnes [West Brom] Mkopo, Riyad Mahrez [Manchester City] £60m, Josh Debayo [Cheltenham] Bila ada, Ahmed Musa [Al-Nassr] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Liverpool
Walioingia
Fabinho [Monaco] £39m, Alisson [Roma] Ada ya uhamisho haikufichuliwa (inadaiwa kuwa £66.8m), Xherdan Shaqiri [Stoke] £13m, Naby Keita [RB Leipzig] £48m
Walioondoka
Emre Can [Juventus] Bila ada, Jon Flanagan [Rangers] Bila ada, Jordan Williams [Rochdale] Bila ada, Ovie Ejaria [Rangers] Mkopo, Shamal George [Tranmere] Mkopo, Ryan Kent [Rangers] Mkopo, Danny Ward [Leicester] £12.5m, Harry Wilson [Derby] Mkopo

Manchester City
Walioingia
Riyad Mahrez [Leicester] £60m, Philippe Sandler [PEC Zwolle] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Claudio Gomes [PSG] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Chanzo cha picha, Getty Images
Walioondoka
Pablo Maffeo [Stuttgart] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ashley Smith-Brown [Plymouth] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Will Patching [Notts County] Bila ada, Isaac Buckley-Ricketts [Peterborough] bila ada, Angus Gunn [Southampton] £13.5m, Jacob Davenport [Blackburn] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Bersant Celina [Swansea] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Joe Hart [Burnley] £3.5m, Thomas Agyepong [Hibernian] Mkopo, Brandon Barker [Preston] Mkopo.

Manchester Utd
Walioingia
Fred [Shakhtar Donetsk] £47m, Diogo Dalot [Porto] £19m, Lee Grant [Stoke] Ada ya uhamisho haikufichuliwa
Walioondoka
Joe Riley [Bradford] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Dean Henderson [Sheffield United] Mkopo, Daley Blind [Ajax] £14m, Sam Johnstone [West Brom] £6.5m, Cameron Borthwick-Jackson [Scunthorpe] Mkopo, Joel Pereira [Vitoria Setubal] Mkopo, Axel Tuanzebe [Aston Villa] Mkopo

Newcastle
Walioingia
Martin Dubravka [Sparta Prague] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ki Sung-yeung [Swansea] Bila ada, Kenedy [Chelsea] Mkopo, Yoshinori Muto [Mainz] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Solomon Rondon [West Brom] Mkopo
Walioondoka
Macaulay Gillesphey [Carlisle] Bila ada, Chancel Mbemba [Porto] Ada ya uhamisho haikufichuliwa (inadaiwa kuwa £7.14m), Jack Colback [Nottingham Forest] Mkopo, Alex Gilliead [Shrewsbury] bila ada, Dwight Gayle [West Brom] bila ada

Southampton
Walioingia
Mohamed Elyounoussi [Basel] Inadaiwa kuwa £16m, Stuart Armstrong [Celtic] £7m, Jannik Vestergaard [Borussia Monchengladbach] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Angus Gunn [Manchester City] £13.5m
Walioondoka
Olufela Olomola [Scunthorpe] Bila ada, Dusan Tadic [Ajax] £10m, Jordy Clasie [Feyenoord] Mkopo, Guido Carrillo [Leganes] Mkopo, Sofiane Boufal [Celta Vigo] Mkopo


Chanzo cha picha, Getty Images

Tottenham
Walioingia
Hakuna hata mmoja
Walioondoka
Keanan Bennetts [Borussia Monchengladbach] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Anton Walkes [Portsmouth] Ada ya uhamisho haijafichuliwa

Watford
Walioingia
Ben Wilmot [Stevenage] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Marc Navarro [Espanyol] £1.8m, Gerard Deulofeu [Barcelona] £11.5m, Ben Foster [West Brom] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Ken Sema [Ostersund] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Adam Masina [Bologna] Ada ya uhamisho haijafichuliwa
Walioondoka
Jerome Sinclair [Sunderland] Mkopo, Tommie Hoban [Aberdeen] Mkopo, Nordin Amrabat [Al-Nassr] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Richarlison [Everton] £35m, Brandon Mason [Coventry] Bila ada, Costel Pantilimon [Nottingham Forest] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Randell Williams [Wycombe] Mkopo, David Sesay [Crawley] Bila ada, Dodi Lukebakio [Fortuna Dusseldorf] Mkopo

West Ham
Walioingia
Lukasz Fabianski [Swansea] £7m, Issa Diop [Toulouse] £22m, Ryan Fredericks [Fulham] Bila ada, Felipe Anderson [Lazio] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Fabian Balbuena [Corinthians] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Andriy Yarmolenko [Borussia Dortmund] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Jack Wilshere [Arsenal] Bila ada
Walioondoka
Marcus Browne [Oxford] Mkopo, Korrey Henry [Yeovil] Bila ada, Reece Burke [Hull] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Cheikhou Kouyate [Crystal Palace] Ada ya uhamisho haijafichuliwa

Wolves
Walioingia
Rui Patricio [Sporting Lisbon] Bila ada, Raul Jimenez [Benfica] Mkopo, Benik Afobe [Bournemouth] £10m, Willy Boly [Porto] £10m, Jonny Castro Otto [Atletico Madrid] Mkopo, Joao Moutinho [Monaco] £5m, Adama Traore [Middlesbrough] £18m

Chanzo cha picha, Getty Images
Walioondoka
Ben Marshall [Norwich] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Sherwin Seedorf [Bradford] Mkopo, Harry Burgoyne [Plymouth] Mkopo, Benik Afobe [Stoke] Mkopo, Aaron Collins [Colchester] Mkopo, Roderick Miranda [Olympiakos] Mkopo, Prince Oniangue [Caen] Ada ya uhamisho haijafichuliwa, Jonathan Flatt [Scunthorpe] Bila ada, Hakeem Odoffin [Northampton] Bila ada
Wachezaji walioondoka bila ada wameorodheshwa iwapo walihamia ligi klabu inayocheza ligi kuu za England au Ligi Kuu ya Scotland.












