Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Misri yasherehekea kufuzu kwa kombe la dunia 2018
Watu nchini Misri wanasherehekea kufuzu kwa taifa hil kushiriki mechi za kombe la dunia kwa mara ya kwanza katika miaka 28.
Mashabiki wenye furaha wamekuwa wakisherehekea usiku kucha
Lilikuwa bao la dakika ya mwisho dhidi ya Congo-Brazzaville.
Mohamed Salah aliifungia Misri penalty dakika ya 95 na kuwashinda Congo mabao 2-1
Bao hilo la nyota wa Liverpool limesababisha kuwepo sherehe nyini nchini Misri