Jinsi wanyama wanavyoelewa nambari kwa njia tofauti

Je dubu anaweza kuwahesabu samaki

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Je dubu anaweza kuwahesabu samaki

Kwa kuzingatia hali mbalimbali ambazo sisi wanadamu tunatumia taarifa za namba, inaonesha kuwa maisha bila namba hayawezekani.

Lakini namba zilikuwa zina faida gani kwa mababu zetu, kabla ya uwepo wa binadamu wa kale 'Homo sapiens'?

Hali ya namba ikoje kwa wanyama

Inaonesha kuwa mchakato wa namba huwa unasaidia katika maisha , na ndio maana tabia ya kuhesabu inaonekana katika idadi kubwa ya wanyama.

Baadhi ya tafiti zimebaini kuwa wanyama katika mazingira ya kibaiolojia, wanawakilisha nambari kama uwezo wao katika upatikanaji wa vyakula, uwindaji, kujilinda na hatari, wanapopitia makazi yao na wanapohusiana.

Awali wanyama ambao wana uwezo wa kutumia nambari katika sayari, ni wale wenye seli moja zifahamikazo kama 'microscopic'-.

Jinsi bakteria wanavyoweza kuishi kwa kutumia lishe ambayo ipo katika mazingira yanayowazunguka. Hawa huwa wanakuwa na kujigawa wenyewe katika wingi.

Ingawa miaka ya hivi karibuni , wataalamu wa baiolojia wamegundua kuwa wao pia wana maisha ya kuhusiana katika jamii na wana uwezo wa kutambua uwepo au kutokuwepo kwa bakteria nyingine.

Kwa maneno mengine, wana uwezo wa kutambua idadi ya bakteria.

Wanakuwa vizuri wakiwa pamoja

Wana uwezo wa kipekee wa kuruhusu utengenezwaji wa mwanga katika mchakato unaoitwa 'bioluminescence',ambao uko sawa na namna moto unavyoweza kupepea na kuzima mwanga.

Twiga

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Spishi tofauti zinaelea kwa aina tfauti inayoshangaza

Kama bakteria hawa wakichanganywa na maji au wakiwa wenyewe tu hawawezi kutengeneza mwanga.

Lakini wakiwa na kufikia idadi fulani ya seli za bakteria, wote wanakuwa na uwezo wa kutengeneza moto kwa pamoja.

Hivyo seli kama ya Vibrio fischeri inaweza ukaitofautisha ikiwa peke yake au ikiwa pamoja na wengine.

Wanawasiliana kwa siri na kuzingatia bakteria wadogo majini ambao wanaongeza idadi ya seli. Na wakifikia kiwango fulani huwa wanaweza kuwajulisha bakteria wengine kuwa wako kiasi gani.

Chimpanzee

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Just like humans, chimpanzees form alliances within their community

Tabia hii ina uwezo wa kutambua idadi yao kwa wastani.

Wana uwezo wa kutambua kwa njia ambayo ishara na kuwajulisha wengine bila kuonesha ishara.

Nyuki

Utambuzi wa nambari pia unafanya jitihada kubwa katika kuainisha na kukuza ufanisi wa mikakati mizuri.

Cheche za moto msituni

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Cheche za moto msituni

Mwaka 2008, mtaalamu wa biolojia Marie Dacke na Mandyam Srinivasan alifanya jaribio la kifahari ambalo lilibaini kuwa nyuki wana uwezo wa kukadiria idadi ya maeneo ambayo vyanzo vya vyakula vinaweza kupatikana hata kama kuna mabadiliko ya eneo hilo la kutengenezea.

Asali huwa inategemea alama ya kiwango cha umbali wa idadi ya vyanzo vya vyakula katika hifadhi.

Wanaweza kutambua idadi ya chakula ambayo wanaweza kuwa nayo ili waeze kuishi.

Linapokuja suala la kutafuta chakula kizuri, inabidi kutafuta zaidi mara nyingi lakini mara nyingine huwa wanatafuta namna nyingine tofauti ambayo huwa inasadia pia.

Nambari huwa zinazingatiwa

Nambari huwa zina jukumu kubwa linapokuja suala la kuwinda kwa makundi, vilevile.

Kuna uwezekano kwa mfano mbwa mwitu wanaweza kumkamata nyumbu wakiwa katika idadi ya kundi ambalo watakuepo kwenye sherehe ya kuwinda.

Mara nyingi mbwa mwitu huwa wanawinda wakiwa katika makundi.

Wadudu

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, wadudu hutumia idadi yao kuamua ni wakati gani kuhamisha nyumba yao

Na wengine huwa wanakaa pembeni ili kuwaacha wengine kumuua mnyama, haswa wakiwa katika kundi kubwa huwa si wote wanaoshiriki, wengine wanakaa pembeni.

Lakini matokeo yake, idadi ya mbwa mwitu ambao wanashiriki kuwinda ni tofauti na ambao walikuwa katika hatari ya kuuawa.

Wanyama ambao wana ulinzi mdogo mara nyingi huwa wanatafuta hifadhi miongoni mwa kundi kubwa- idadi huwa inawapa nguvu ya kuweza kuwa salama.

Lakini kujificha katika kundi kubwa ni mkakati ambao unajumuisha mashindano ya nambari.

Simba wa kike huchunguza ni maadui wangapi wanaweza kuwa kabili kabla ya kufanya uamuzi

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Simba wa kike huchunguza ni maadui wangapi wanaweza kuwa kabili kabla ya kufanya uamuzi

Kuimba ili kujilinda

Mwaka 2005, kikosi cha wataalamu wa biolojia kutoka chuo kikuu cha Washington kilibaini kuwa ndege wadogo huwa wanaimba wakati wa hatari ili kutoa angalizo kwa wengine.

Kama ilivyo kwa wanyama wegine, ndege wanaofahamika kama 'chickadees' huwa wanaimba ili kutoa ishara kwa wengine kuwa huna hali ya hatari.

Jinsi wanavyozidi kuimba ndio wanakuwa wanatoa taarifa ya ukubwa wa tatizo lililopo na wao pia wanaongezeka katika kuitikia wimbo huo.

Idadi katika makundi huwa ni muhimu kwa sababu mmoja hawezi kujilinda mweyewe- na hivyo ni vyema kupata idadi kubwa ya wanaosaidia kuimba.

Baadhi ya wanyama wamekuwa wakifanyiwa utafiti , na matokeo mengi namba ndio huwa inabainisha matokeo ya mapambano hayo .

Kama kuna simba mgeni amekuja kukaa karibu yao utasikia sauti ya kuonyesha kumtisha na kutambulisha kuwa kuna adui ameingia.

Mfano, Simba wawili wa kike wanaweza kutoa sauti tofauti na mmoja.

Wakati wanyama wanaokula wenzao wanajaribu kufikiria ni mawindo gani ya kuwinda, wakati mwingine idadi hailingani

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wakati wanyama wanaokula wenzao wanajaribu kufikiria ni mawindo gani ya kuwinda, wakati mwingine idadi hailingani

Hii inaonyesha wazi uwezo wa wanyama katika kutofautisha taarifa katika namba.

Mikakati ya kijeshi

Sokwe nao wanaonyesha tabia sawa kabisa na mikakati ya kijeshi.

Michael Wilson na chuo kikuu cha Harvard kilibaini kuwa sokwe wanatabia ya kuwa na mbinu za kijeshi.

Wao huwa wanafuata idadi katika kupanga vikosi vyao sawa na jinsi jeshi linavyohesabu vikosi vya upinzani.

Uasili wa mbegu?

Simba

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Nambari ni muhimu katika familia ya wanyama

Unaweza kudhani kuwa kila kitu kinakuwa kinafaikiwa bila jitihada za ziada. Lakini ukweli ni kuwa baadhi ya wanyama huwa wanarutubisha mayai.

Mara mwenzi wa kiume anapomaliza kufanya kazi yake, mayai yanaendelea kurutubisha .

Hivyo kuna suala la kiwango cha tabia ya kuasili na kurutubisha mayai ili waweze kupata watoto ikiwa inategemea idadi ya mbegu zilizopatikana pia.