Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uhamisho wa wachezaji : Mikataba yote iliotiwa saini Januari 2020
Siku ya mwisho ya dirisha dogo la uhamisho katika ligi ya premia ya kusaini wachezaji wapya kufikia saa tano usiku saa za Uingereza.
Jifahamishe kuhusu wachezaji waliojiunga na klabu mpya Uingereza.
31 Januari (Muda wa Uingereza)
Ligi kuu ya England
13:30 - Nathan Bishop [Southend - Manchester United] kitiakisichojulikana
12:59 - Richairo Zivkovic [Changchun Yatai - Sheffield United] kwa mkopo
10:30 - Cedric Soares [Southampton - Arsenal] kwa mkopo
09:00 - Sam McCallum [Coventry - Norwich] kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya Uskochi
13:10 - Paul McGinn [St Mirren - Hibernian] kitita kisichojulikana
10:45 - Marcel Langer [Schalke 04 - Hearts] uhamisho wa bila malipo
10:30 - Ianis Hagi [Genk - Rangers] kwa mkopo
Ligi ya mbaingwa England
14:00 - Tom Nichols [Bristol Rovers - Cheltenham] kwa mkopo
13:30 - Harvey Bradbury [Millwall - Morecambe] kwa mkopo
13:15 - Cian Harries [Swansea - Bristol Rovers] bila malipo
13:00 - Teddy Howe [Reading - Blackpool] kitita kisichojulikana
13:00 - Harry Burgoyne [Wolves - Shrewsbury] kitita kisichojulikana
12:30 - James Wilson [Aberdeen - Salford]kitita kisichojulikana
11:45 - Marcus Dewhurst [Sheffield United - Carlisle] kwa mkopo
11:45 - Stephen Walker [Middlesbrough - Crewe] kwa mkopo
11:30 - Luke Steele [Nottingham Forest - Millwall] kwa mkopo
11:17 - Dan Kemp [West Ham - Stevenage] kwa mkopo
11:15 - Kamil Grosicki [Hull - West Brom] kitita kisichojulikana
11:05 - Ethan Erhahon [St Mirren - Barnsley] kwa mkopo
11:00 - Manny Adebowale [Eastbourne Borough - Crawley] kitita kisichojulikana
09:00 - Lewis Gibson [Everton - Fleetwood] kwa mkopo
09:00 - Sam McCallum [Norwich - Coventry] kwa mkopo
09:00 - Kayne Ramsay [Southampton - Shrewsbury] kwa mkopo
08:30 - Morgan Feeney [Everton - Tranmere]kwa mkopo
00:30 - Aiden McGeady [Sunderland - Charlton] kwa mkopo
Kimataifa
14:14 - Florent Hadergjonaj [Huddersfield - Kasimpasa SK] kwa mkopo
09:50 - Omar Bogle [Cardiff - ADO Den Haag] kwa mkopo
30 Januari
Ligi kuu ya England
Sander Berge [Genk - Sheffield United] £22m
Josh Brownhill [Bristol City - Burnley] kitita kisichojulikana
Bruno Fernandes [Sporting Lisbon - Manchester United] £47m
Daniel Podence [Olympiakos - Wolves] kitita kisichojulikana
Danny Rose [Tottenham - Newcastle]kwa mkopo
Ligi kuu ya uskochi
Lee Hodson [Gillingham - St Mirren] kwa mkopo
Ligi ya mabingwa England
Timmy Abraham [Fulham - Bristol Rovers] kwa mkopo
Felipe Araruna [Sao Paulo - Reading] kitita kisichojulikana
Mason Bennett [Derby - Millwall] kwa mkopo
Gaetan Bong [Brighton - Nottingham Forest] kitita kisichojulikana
Kean Bryan [Sheffield United - Bolton] kwa mkopo
Cameron Carter-Vickers [Tottenham - Luton] kwa mkopo
Mitchell Clark [Leicester - Port Vale] kwa mkopo
Eoin Doyle [Bradford - Swindon] kitita kisichojulikana
Timothy Eyoma [Tottenham - Lincoln] kwa mkopo
Callum Guy [Blackpool - Carlisle United] kitita kisichojulikana
Akeem Hinds [Rotherham - Lincoln] bila malipo
Conor McAleny [Fleetwood - Shrewsbury] kwa mkopo
Dylan Mottley-Henry [Barnsley - Bradford] bila malipo
Eunan O'Kane [Leeds - Luton] 18-month kwa mpangilio
Fejiri Okenabirhie [Shrewsbury - Doncaster] kitita kisichojulikana
Brad Smith [Bournemouth - Cardiff] kwa mkopo
Nahki Wells [Burnley - Bristol City] £5m
Kimataifa
Eduardo Herrera [Rangers - Puebla] kitita kisichojulikana
Toni Leistner [QPR - FC Koln] kwa mkopo
Leon Maloney [Portsmouth - FC Volendam] kitita kisichojulikana
George McEachran [Chelsea - SC Cambuur] kwa mkopo
Costel Pantilimon [Nottingham Forest - Omonia] kwa mkopo
Krzysztof Piatek [AC Milan - Hertha Berlin] kwa kitita kisichojulikana
Chema Rodriguez [Nottingham Forest - Getafe] Undisclosed
29 Januari
Ligi kuu ya England
Steven Bergwijn [PSV Eindhoven - Tottenham] £27m
Pablo Mari [Flamengo - Arsenal] kwa mkopo
Tomas Soucek [Slavia Prague - West Ham] Loan
Kyle Walker-Peters [Tottenham - Southampton]kwa mkopo
Ligi ya mabingwa England
Nuno da Costa [Strasbourg - Nottingham Forest] kwa kitita kisichojulikana
Alessio Da Cruz [Parma - Sheffield Wednesday] kwa mkopo
Scott Hogan [Aston Villa - Birmingham] kwa mkopo
Callum Robinson [Sheffield United - West Brom] kwa mkopo
James Vaughan [Bradford - Tranmere] kwa mkopo
Jerry Yates [Rotherham - Swindon] kwa mkopo
Kimataifa
Antony Evans [Everton - Paderborn] kwa kitita kisichojulikana
28 January
Ligi kuu ya England
Giovani Lo Celso [Real Betis - Tottenham] £27.2m
Ligi ya kuu ya uskochi
Peter Urminsky [Spartak Trnava - St Mirren] kwa mkopo
ligi ya mabingwa England
Joe Day [Cardiff - AFC Wimbledon] kwa mkopo
Admiral Muskwe [Leicester - Swindon] kwa mkopo
David Parkhouse [Sheffield United - Stevenage] kwa mkopo
Kelland Watts [Newcastle - Mansfield] kwa mkopo
Kimataifa
Hatem Ben Arfa [Unattached - Real Valladolid]
Christian Eriksen [Tottenham - Inter Milan] £16.9m
27 Januari
Ligi ya mabingwa England
Jean-Kevin Augustin [RB Leipzig - Leeds] kwa mkopo
Bartosz Bialkowski [Ipswich - Millwall] kwa kitita kisichojulikana
Devante Cole [Wigan - Doncaster] kwa kitita kisichojulikana
Kiernan Dewsbury-Hall [Leicester - Blackpool] kwa mkopo
Danny Johnson [Dundee - Leyton Orient] kwa kitita kisichojulikana
Ian Lawlor [Doncaster - Scunthorpe] kwa mkopo
Callum Morton [West Brom - Northampton] kwa mkopo
James Olayinka [Arsenal - Northampton] kwa mkopo
Josh Scowen [QPR - Sunderland] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya uskochi
Ismaila Soro [Bnei Yehuda - Celtic] kwa kitita kisichojulikana
Kimataifa
Claudio Yacob [Nottingham Forest - Nacional] bila malipo
25 January
Ligi ya mabingwa England
James Husband [Norwich - Blackpool] kwa kitita kisichojulikana
Mark Marshall [Gillingham - Northampton] bila malipo
Joe Riley [Plymouth - Mansfield] bila malipo
Ligi kuu ya Uskochi
Liam Boyce [Burton - Hearts] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya wanawake
Ruesha Littlejohn [Unattached - West Ham]
24 Januari
Ligi kuu ya England
Valentino Lazaro [Inter Milan - Newcastle]bila malipo
Aaron Mooy [Huddersfield - Brighton] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya mabingwa England
Victor Adeboyejo [Barnsley - Cambridge] bila malipo
John Akinde [Lincoln - Gillingham] kwa kitita kisichojulikana
Lewis Alessandra [Morecambe - Carlisle] bila malipo
Odin Bailey [Birmingham - Forest Green] kwa mkopo
Cameron Borthwick-Jackson [Manchester United - Oldham] Loan
Bobby Decordova-Reid [Cardiff - Fulham] kwa kitita kisichojulikana
Jordan Gabriel [Nottingham Forest - Scunthorpe] kwa mkopo
Rob Hall [Oxford - Forest Green] kwa mkopo
Conrad Logan [Mansfield - Forest Green] kwa mkopo
Chris Maxwell [Preston - Blackpool] bila malipo
Tom McGill [Brighton - Crawley] kwa mkopo
Christian Mbulu [Crewe - Morecambe] bila malipo
Michael Sollbauer [Wolfsberger AC - Barnsley] kwa kitita kisichojulikana
David Stockdale [Birmingham - Wycombe] kwa mkopo
George Tanner [Manchester United - Salford] kwa mkopo
Glenn Whelan [Hearts - Fleetwood] bila malipo
Ligi kuu ya Uskochi
Toby Sibbick [Barnsley - Hearts] kwa mkopo
Kimataifa
Marvin Zeegelaar [Watford - Udinese] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya wanawake
Erin Simon [West Ham - Houston Dash] kwa kitita kisichojulikana
23 Januari
Ligi kuu ya England
Louie Barry [Barcelona - Aston Villa] £880,000
Ligi ya mabingwa England
Idris El Mizouni [Ipswich - Cambridge] kwa mkopo
Tom Hopper [Southend - Lincoln] kwa kitita kisichojulikana
Kimataifa
Victor Moses [Chelsea - Inter Milan] kwa mkopo
22 Januari
Ligi kuu ya Rngland
Scott Banks [Dundee United - Crystal Palace] kwa kitita kisichojulikana
Ligi ya mabingwa England
Jamal Blackman [Chelsea - Bristol Rovers] kwa mkopo
Hallam Hope [Carlisle - Swindon] kwa kitita kisichojulikana
Peter Kioso [Hartlepool - Luton] kwa kitita kisichojulikana
George Thorne [Derby - Oxford] Bila malipo
Ligi Kuu ya Uskochi
Sam Woods [Crystal Palace - Hamilton] kwa mkopo
Kimataifa
Jack Hendry [Celtic - Melbourne City] kwa mkopo
Nicolas Kuhn [Ajax - Bayern Munich] kwa mkopo
Alvaro Odriozola [Real Madrid - Bayern Munich] kwa mkopo
21 Januari
Ligi kuu ya England
Nabil Bentaleb [Schalke - Newcastle] kwa mkopo
Jack Robinson [Nottingham Forest - Sheffield United] kwa kitita kisichojulikana
Ligi ya mabingwa England
Elia Caprile [Chievo - Leeds] kwa kitita kisichojulikana
Adama Diakhaby [Huddersfield - Nottingham Forest] kwa mkopo
Jonathan Mitchell [Derby - Macclesfield] kwa mkopo
Nathan Sheron [Fleetwood - Walsall] kwa mkopo
Danny Whitehead [Salford - Macclesfield] kwa mkopo
Bailey Wright [Bristol City - Sunderland] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskochi
Luke Southwood [Reading - Hamilton] kwa mkopo
Robby McCrorie [Rangers - Livingston] kwa mkopo
KImatifa
Easah Suliman [Aston Villa - Vitoria Guimaraes] kwa kitita kisichojulikana
20 Januari
Ligi kuu ya England
Mbwana Samatta [Genk - Aston Villa] £8.5m
Ligi ya mabingwa England
Simeon Jackson [unattached - Stevenage]
Josh Vela [Hibernian - Shrewsbury] Bila malipo
Jamie Murphy [Rangers - Burton] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskochi
Donis Avdijaj [unattached - Hearts]
Kimataifa
Jonathan Kodjia [Aston Villa - Al-Gharafa] kwa kitita kisichojulikana
Reinier Jesus [Flamengo - Real Madrid] £26m
Lovre Kalinic [Aston Villa - Toulouse] kwa mkopo
Kristoffer Peterson [Swansea - Utrecht] kwa mkopo
18 January
Ligi ya mbingwa England
Jason McCarthy [Millwall - Wycombe] kwa mkopo
Tafari Moore [Plymouth - Colchester] kwa mkopo
17 Januari
Ligi kuu ya England
Ousseynou Cisse [Gillingham - Leyton Orient] kwa mkopo
Diaguely Dabo [Epinal - Stevenage] Bila malipo
Brennan Dickenson [MK Dons - Exeter] Bila malipo
Brandon Fleming [Hull - Bolton] kwa mkopo
Sam Hart [Blackburn - Shrewsbury]kwa mkopo
Dan Jarvis [Stoke - Wrexham] Bila malipo
Connor Ronan [Wolves - Blackpool] kwa mkopo
Jordan Thompson [Blackpool - Stoke] kwa kitita kisichojulikana
Harry Toffolo [Lincoln - Huddersfield] kwa kitita kisichojulikana
Mallik Wilks [Barnsley - Hull] kwa mkopo
Ryan Woods [Stoke - Millwall] kwa mkopo
Ligi ya Uskochi
Nicke Kabamba [Hartlepool - Kilmarnock] kwa kitita kisichojulikana
Stephane Omeonga [Genoa - Hibernian] kwa mkopo
Kimataifa
Liam Henderson [Hellas Verona - Empoli] kwa mkopo
Ashley Young [Manchester United - Inter Milan] £1.28m
16 Januari
Ligi ya mabingwa England
Nick Anderton [Blackpool - Carlisle] kwa kitita kisichojulikana
Jordan Archer [Oxford - Fulham] bila malipo
Josh Benson [Burnley - Grimsby] kwa mkopo
Jack Clarke [Tottenham - QPR] kwa mkopo
Josh Ginnelly [Preston - Bristol Rovers] kwa mkopo
Andy King [Leicester - Huddersfield] kwa mkopo
Terence Kongolo [Huddersfield - Fulham] kwa mkopo
Gary Madine [Cardiff - Blackpool] bila malipo
Luke McGee [Portsmouth - Bradford] kwa mkopo
Jack Nolan [Reading - Walsall] kwa kitita kisichojulikana
Michael Nottingham [Blackpool - Crewe] kwa mkopo
Danny Rowe [AFC Fylde - Oldham] kwa kitita kisichojulikana
Martin Samuelsen [West Ham - Hull] kwa kitita kisichojulikana
Dejan Stojanovic [St Gallen - Middlesbrough] kwa kitita kisichojulikana
Sammie Szmodics [Bristol City - Peterborough] kwa mkopo
Louis Thompson [Norwich - MK Dons] kwa mkopo
Kimataifa
Simon Cox [Southend - Western Sydney Wanderers] bila malipo
15 Januari
Ligi kuu ya England
Gedson Fernandes [Benfica - Tottenham] kwa mkopo
Darren Randolph [Middlesbrough - West Ham] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya England
Conor Gallagher [Chelsea - Swansea] kwa mkopo
Joshua Kayode [Rotherham - Carlisle] kwa mkopo
Christoffer Mafoumbi [Blackpool - Morecambe] kwa mkopo
Michael O'Connor [Lincoln - Salford] kwa kitita kisichojulikana
Tyler Smith [Sheffield United - Rochdale] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskochi
Harry Bunn [Unattached - Kilmarnock] Bila malipo
Coll Donaldson [Inverness - Ross County] kwa kitita kisichojulikana
Matty Kennedy [St Johnstone - Aberdeen] Bila malipo
Jordan Tillson [Exeter - Ross County] kwa kitita kisichojulikana
*uhamisho kukamilishwa mwisho wa msimu
Kimataifa
Agus Medina [Birmingham - UE Cornella] Bila malipo
14 Januari
Ligi kuu ya England
Ignacio Pussetto [Udinese - Watford] £7m
Ligi ya mabingwa England
Jake Cassidy [Maidenhead - Stevenage] kwa kitita kisichojulikana
Zak Dearnley [Unattached - Oldham]
Jordan Green [Barnsley - Newport] bila malipo
Joe Powell [West Ham - Burton] kwa kitita kisichojulikana
Ligi kuu ya Uskochi
Patryk Klimala [Jagiellonia Bialystok - Celtic] kwa kitita kisichojulikana
Kimataifa
Rafa Mir [Wolves - SD Huesca] Loan
Kristoffer Nordfeldt [Swansea - Genclerbirligi] bila malipo
13 Januari
Ligi kuu ya England
Jarrad Branthwaite [Carlisle - Everton] kwa kitita kisichojulikana
Pepe Reina [AC Milan - Aston Villa] kwa mkpo
Lukas Rupp [Hoffenheim - Norwich] kwa kitita kisichojulikana
Ligi ya mabingwa England
Bruno Andrade [Lincoln - Salford] kwa kitita kisichojulikana
Ashley Baker [Sheffield Wednesday - Newport] kwa kitita kisichojulikana
Josh Earl [Preston - Ipswich] kwa mkopo
Rarmani Edmonds-Green [Huddersfield - Swindon] kwa mkopo
Conor Shaughnessy [Leeds - Burton] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskochi
Darian MacKinnon [Hamilton - Partick Thistle]
Mikael Ndjoli [Bournemouth - Motherwell] kwa mkopo
Kimataifa
Asmir Begovic [Bournemouth - AC Milan] kwa mkopo
12 Januari
Ligi kuu ya England
Ondrej Duda [Hertha Berlin - Norwich] kwa mkopo
11 Januari
International
Ryan Babel [Galatasaray - Ajax] kwa mkopo
10 Januari
Ligi kuu ya England
Cenk Tosun [Everton - Crystal Palace] kwa mkopo
Ligi ya mabingwa England
Marc Bola [Middlesbrough - Blackpool] kwa mkopo
Conor Coventry [West Ham - Lincoln] kwa mkopo
Lewie Coyle [Leeds - Fleetwood] kwa kitita kisichojulikana
Emmanuel Dieseruvwe [Salford - Oldham] kwa mkopo
Tayo Edun [Fulham - Lincoln] kwa kitita kisichojulikana
Ben Gladwin [Blackburn - MK Dons] bila malipo
Marc Guehi [Chelsea - Swansea] kwa mkopo
Max Hunt [Derby - Carlisle] kwa kitita kisichojulikana
Tyreece John-Jules [Arsenal - Lincoln] kwa mkopo
Kyle Lafferty [Sarpsborg 08 - Sunderland] bila malipo
Max Melbourne [West Brom - Lincoln] kwa kitita kisichojulikana
Toto Nsiala [Ipswich - Bolton] kwa mkopo
Emile Smith Rowe [Arsenal - Huddersfield] kwa mkopo
Richard Stearman [Sheffield United - Huddersfield] bila malipo
Kimaaifa
Patrick Cutrone [Wolves - Fiorentina] kwa mkopo
9 Januari
Ligi kuu ya England
Hakeeb Adelakun [Bristol City - Rotherham] kwa mkopo
Rob Atkinson [Eastleigh - Oxford] kwa kitita kisichojulika
Marcus Browne [Middlesbrough - Oxford] kwa mkopo
Billy Clarke [Plymouth - Grimsby] Bila malipo
Tom Elliott [Millwall - Salford] Bila malipo
Owen Evans [Wigan - Cheltenham] kwa mkopo
Dale Gorman [Leyton Orient - Newport]kwa mkopo
Ryan Hardie [Blackpool - Plymouth] kwa mkopo
Kilian Ludewig [RB Salzburg - Barnsley] kwa mkopo
Jordan Roberts [Ipswich - Gillingham] kwa mkopo
Mads Bech Sorensen [Brentford - AFC Wimbledon] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskochi
Andy Dales [Scunthorpe - Hamilton] kwa mkopo
Kimataifa
Anton Walkes [Portsmouth - Atlanta United] kwa kitita kisichojulika
8 Januari
Ligi ya mabingwa England
Nathan Holland [West Ham - Oxford] kwa mkopo
Liam Kelly [Feyenoord - Oxford] kwa mkopo
Carlton Morris [Norwich - MK Dons] kwa mkopo
Scott Sinclair [Celtic - Preston] kwa kitita kisichojulika
Ligi kuu ya Uskochi
Ciaron Brown [Cardiff - Livingston] kwa mkopo
Akin Famewo [Norwich - St Mirren] kwa mkopo
7 Januari
Ligi kuu ya England
Danny Drinkwater [Chelsea - Aston Villa] kwa mkopo
Ligi ya mabingwa England
Rhian Brewster [Liverpool - Swansea] kwa mkopo
Josh Barrett [Reading - Bristol Rovers] kwa kitita kisichojulika
Ivan Cavaleiro [Wolves - Fulham] kwa kitita kisichojulika
Anthony Glennon [Burnley - Grimsby] kwa mkopo
Cameron McGeehan [Barnsley - Portsmouth] kwa mkopo
Jack Taylor [Barnet - Peterborough] £500,000
Billy Waters [Northampton - Newport] kwa mkopo
Ligi kuu ya Uskoch
Conor McCarthy [Cork City - St Mirren] kwa kitita kisichojulika
Dylan McGeouch [Sunderland - Aberdeen] kwa kitita kisichojulika
Jamie McGrath [Dundalk - St Mirren] bila malipo
Ryan Schofield [Huddersfield - Livingston] kwa mkopo
6 Januari
Ligi ya mabingwa England
Callum Connolly [Everton - Fleetwood] Loan
Muhammadu Faal [Enfield - Bolton] kwa kitita kisichojulika
Anthony Grant [Shrewsbury - Swindon] kwa kitita kisichojulika
Reeco Hackett-Fairchild [Bromley - Portsmouth] kwa kitita kisichojulika
Ethan Hamilton [Manchester United - Bolton] kwa mkopo
Joe Leesley [Harrogate - Stevenage] kwa mkopo
Josh March [Leamington - Forest Green] kwa kitita kisichojulika
Luke McCullough [Unattached - Tranmere]
Jayden Mitchell-Lawson [Derby - Bristol Rovers] kwa mkopo
Carl Piergianni [Salford - Oldham] kwa mkopo
Marcel Ritzmaier [Wolfsberger - Barnsley] Ukwa kitita kisichojulika
George Thomason [Longridge Town - Bolton] kwa kitita kisichojulika
4 Januari
Ligi ya mabingwa England
Jevani Brown [Colchester - Forest Green] kwa mkopo
Kimataifa
Alexander Nubel [Schalke - Bayern Munich] bila malipo (uhamisho kufanikishwa tarehe 1 Julai, 2020)
3 Januari
Premier League
Jack Rodwell [Unattached - Sheffield United]
Ligi ya mabingwa England
Tyreeq Bakinson [Bristol City - Plymouth] kwa mkopo
Reece Brown [Huddersfield - Peterborough] kwa mkopo
Kieran Dowell [Everton - Wigan] kwa mkopo
Herbie Kane [Liverpool - Hull] kwa mkopo
Alfie May [Doncaster - Cheltenham] kwa kitita kisichojulika
Lukas Nmecha [Manchester City - Middlesbrough] kwa mkopo
Alex Woodyard [Peterborough - Tranmere] kwa mkopo
2 Januari
Ligi ya mabingwa England
Ryan Cooney [Burnley - Morecambe] kwa mkopo
Toumani Diagouraga [Swindon - Morecambe] bila malipo
Andre Green [Aston Villa - Charlton] bila malipo
Christian N'Guessan [Burnley - Oldham] bila malipo
Adam Phillips [Burnley - Morecambe] Loan
Patrick Roberts [Manchester City - Middlesbrough] bila malipo
Steve Seddon [Birmingham - Portsmouth] bila malipo
Lawrence Vigouroux [Unattached - Leyton Orient]
Kimataifa
Dejan Kulusevski [Atalanta - Juventus] £29.7m (will continue existing season-long loan at Parma)
1 Januari
Ligi ya mabingwa England
Peter Clarke [Fleetwood - Tranmere] bila malipo
Jordan Thorniley [Sheffield Wednesday - Blackpool] kwa kitita kisichojulika
Elliot Watt [Wolves - Carlisle] kwa mkopo