Picha za ujauzito za Meghan

Picha zilizovutia za Meghan ,Mke wa mwanamfalme Harry wa Uingereza kabla hajajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume.

OCTOBER 17 Harry and Meghan speak to five year old Luke Vincent during their Royal tour of Australia

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Mwanamfalme Harry, 34, na Meghan, 37 wakati walipotangaza kwa mara ya kwanza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mara baada ya kufika mjini Sydney, Australia, tarehe 15 Oktoba 2018,
The duchess arriving at the wedding of Princess Eugenie

Chanzo cha picha, Getty Images

Meghan stunned the audience wearing a one-shouldered black Givenchy gown for the occasion

Chanzo cha picha, Getty Images

Meghan in Birkenhead January 14

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wakiwa Merseyside mwezi Januari, Meghan alikuwa na ujauzito wa miezi sita na akiwa hajui anatarajia mtoto wa kike au wa kiume
Harry and Meghan in Morocco

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mwezi Februari, wapenzi hao walitembelea Morocco
Meghan spoke on a panel to mark International Women's Day 2019

Chanzo cha picha, PA

Maelezo ya picha, Meghan akiongea kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, huku akiwa na matumani ya kupata mtoto wa kike

Pictures all subject to copyright