Habari kwa Picha: Ibada ya mazishi ya Mengi

Viongozi mbalimbali wa kisiasa nchini Tanzania ni miongoni mwa watu waliohudhuria ibada ya Mazishi ya Dkt.Reginald Mengi

mke wa Mengi
Maelezo ya picha, Mke wa Mengi akiwa pamoja na watoto katika ibada ya mwisho ya mazishi ya mume wake Dr.Reginald Mengi
Freeman Mbowe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa
Maelezo ya picha, Freeman Mbowe ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa waliohudhuria katika ibada hiyo
ibada
Maelezo ya picha, Baadhi ya watu waliohudhuria ibada ya mazishi ya Dr.Mengi huko Machame, mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania
watu wengine wakiwa nje ya kanisa
Maelezo ya picha, Watu wengine wakiwa nje ya kanisa
Ibada
Maelezo ya picha, Ibada ya mazishi katika kanisa la kiinjili la kilutheri huko Moshi, Kilimanjaro
Muonekano wa nje wa eneo ambalo ibada ya mazishi ya Dkt. Mengi

Chanzo cha picha, IPP MEDIA

Maelezo ya picha, Muonekano wa nje wa eneo ambalo ibada ya mazishi ya Dkt. Mengi