Siku ya wanawake duniani 2019: Wanawake waliyong'aa katika nyanja tofauti huulizwa maswali ya kiajabu

Wanariadha, madaktari wa upasuaji, wajasiriamali wa teknolojia, mawaziri, wakufunzi wa yoga na maafisa wakuu watendaji wa hadhi ya juu.

Wanawake wafuatao wameongoza katika taaluma mbali mbali.

Lakini wote wameulizwa maswali ya kushangaza kuhusiana na taalamu zao hali ambayo ingeikuwa tofauti laiti wangelikuwa wanaumu.

Wanaelezea visa vyao kupitia hashtag #IfIWasAMan:

Neema Kaseje

Mtaalamu wA upasuaji na muasisi wa mkurugenzi wa kundi la utafiti , mjini Kisumu, Kenya na Geneva, Switzerland

"'Tunamsubiri daktari wa upasuaji.' Nalizimika kuwafahamisha kuwa mimi daktari wa upasuaji."

Soledad Núñez

Waziri wa zamani wa makaazi nchini Paraguay, mwanasiasa na Mhandisi

"'Wewe ni mtu mdogo sana, utafanya nini katika siasa? Utaliwa na Fisi.' Ilikua mahojiano yangu ya kwanza katika chombo cha habari baada ya kuteuliwa waziri nikiwa na miaka 31."

Kendal Parmar

Mwanzilishi wa kampuni ya teknolojia iliyo na makaazi yake jijini London

"'Una watoto watano na unaendesha biashara ya teknolojia. Wewe ni mkakamavu sana!' Athari ya ujumbe unaoandamana na hilo neno 'mkakamavu' ndio kitu tunastahili kukabiliana nayo?"

Susie Rodgers, MBE

Mwogeleaji wa olimpiki ya walemavu Uingereza

"Nakabiliwa na wakati mgumu kufanya kazi na wewe kwasababunaulizwa maswali mengi."

Maoi Arroyo

Kiongii wa FCO, Mwekezajina kufunzi wa masuala ya biashara mjini Manila, Philippines

"Hayo majikumu ni makubwa sana. Nadhani huna mpango wa kuwa na familia."

Lisa MacCallum

Mwanzilishiwa mashirika kadhaa na naibu rais wa zamani wa kampuni maarufu ya michezo, Nike na Nike exec, nchini Australia

''Je utaiwakilisha shirika katika shindano la urembo?"

Ayla Majid

Mtaalamu wa masuala ya kiuchimi na mshauri wa kibiashara wa Pakistan

Katika mahojiano ya televisheni: "Unaweza kuendelea kufanya kazi nasi kwa muda mrefu? Biashara yetu inafanya vizuri."

Karen Blackett, OBE

Mwenyekiti wa kampuni ya MediaCom Uingereza na msimamizi wa kitaifa wa WPP Uingereza

"Kazi yako ni nzuri, lakini mafaniyo hayo ni yakibinafsi inasidia vipi kampuni...."

Nino Zambakhidze

Mtaalamu wa kilimo, biashara, usafirishaji, na muanzilishi wa kanda ya biasharamjini Georgiamiongoni mwa nyingine

"Urembo wako ni silaha yako,"

Belinda Parmar, OBE

Mwanabiashara wa teknolojia na mkurunzi CEO shirika la biashara na sister wa Kendal

"'Belinda anajiamini sana.' Sijawahi kusikia mwanamume akizungumziwa hivyo'"

Husna Lawson

Mshauri wa masuala ya usalama Bangladesh

"Unaelewa haya masuala ya uslama wa kimtandao kweli?

Andrea Cooper

Meneja na mkufunziwa yoga nchi Uingereza

"Nashangaa sana wanaume wanapowaelezea wanawake 'nguvu ya asili''