Orodha ya maafisa wa serikali ya Marekani waliofutwa kazi na rais Trump ama kuacha kazi kwa hiari kufikia sasa

Orodha ya maafisa wa serikali ya Marekani waliofutwa kazi na rais Donald Traump tangu achukue mamlaka.

  • Rex Tillerson, waziri wa maswala ya kigeni - 13 Machi 2018
  • Gary Cohn, Afisa mkuu wa masuala ya kiuchumi - 6 Machi 2018
  • Hope Hicks, Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ya Whitehouse - 28 Februari 2018
  • Rob Porter, Katibu katika Ikuku ya White House- 8 Februari 2018
  • Andrew McCabe, Naibu mkurugenzi shirika la FBI - 29 Januari 2018
  • Tom Price, Waziri wa afya - 29 Septemba 2017
  • Steve Bannon, Afisa mkuu wa mipango - 18 Agosti 2017
  • Anthony Scaramucci, Mkurugenzi wa mawasiliano - 31 Julai 2017
  • Reince Priebus, Afisa mkuu wa wafanyikazi wa umma - 28 Julai 2017
  • Sean Spicer, Waziri wa habari - 21 Julai 2017
  • James Comey, Mkurugenzi wa shirika la FBI - 9 Mei 2017
  • Michael Flynn, Mshauri wa maswala ya usalama - 14 Februari 2017
  • Sally Yates, Kaimu Mwanasheria Mkuu - 31 Januari 2017
  • Preet Bharara, Mwendesha Mashtaka wa New York federal prosecutor - 11 Machi 2017
  • Paul Manafort, Meneja wa Kampeni wa Trump - 19 Agosti 2016