Kwa Picha: Nyanya wa miaka 85 aliyetimiza ndoto ya kuwa msanii

Kutokana na ushirikiano wao walianzisha mradi unaojulikana kama "Indri and I"

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Kutokana na ushirikiano wao walianzisha mradi unaojulikana kama "Indri and I"

Msanii mmoja nchini India ambaye pia mwanaharakati Jasmeen Patheja wakati wote alikuwa na ndoto ya kuwa mpiga picha.

Na miaka kadha iliyopita, wakati nyanya yake Inderjit Kaur alisema alikuwa ndoto ya kuwa mcheza filamu, wawili hao waliamua kutimiza ndoto zao.

Kutokana na ushirikiano kati yao walianzisha mradi unaojulikana kama "Indri and I" mzururu wa picha unaomuonyesha nyanya huyo wa umri wa miaka 85 akiwa amevalia mavazi ya kupendeza.

Anakumbuka nyakati za majira ya joto akiwa mtoto alipokuwa akiishi mji ulio mashariki mwa India wa Kolkata akirudi nyumbani kutoka shuleni.

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Anakumbuka nyakati za majira ya joto akiwa mtoto alipokuwa akiishi mji ulio mashariki mwa India wa Kolkata akirudi nyumbani kutoka shuleni.

"Sitasema haswa tarehe mradi huu ulianza. Huenda ulianza nikiwa na umri wa miaka mitatu," Bi Patheja aliiambia BBC.

Anakumbuka nyakati za majira ya joto akiwa mtoto alipokuwa akiishi mji ulio mashariki mwa India wa Kolkata akirudi nyumbani kutoka shuleni.

Bi Kaur alikuwa mke wa nyumbani na masomo yake yalitatizwa na sintofahamu ya Vita vya Pili vya Dunia

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Bi Kaur alikuwa mke wa nyumbani na masomo yake yalitatizwa na sintofahamu ya Vita vya Pili vya Dunia

Bi Kaur alikuwa mke wa nyumbani na masomo yake yalitatizwa na sintofahamu ya Vita vya Pili vya Dunia. Mzaliwa wa Burma ambayo sasa ni Mynmar, alitoroka na familia yake kuenda Lahore katika iliyo sasa Pakistan akiwa na umri wa miaka 9 wakati Japan iliishambulia India.

"Wakati mwingine anaweza kusemea, "Laiti ningesoma zaidi." anajutia fursa iliyopotea ya kutosoma.

Pia alifurajia kupigwa picha na alikuwa mtu wa kawaida tu mbele ya kamera

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Pia alifurajia kupigwa picha na alikuwa mtu wa kawaida tu mbele ya kamera

Pia alifurajia kupigwa picha na alikuwa mtu wa kawaida tu mbele ya kamera, Bi Patheja anasema.

"Kwa hivyo miaka michache iliyopita, siku moja alisema, nahisi ningekuwa mcheza filamu, ndipo nikase sawa, "hucheze nami nichukue picha," Ndivyo alizaliwa "Mcheza filamu Indri."

Pia alifurajia kupigwa picha na alikuwa mtu wa kawaida tu mbele ya kamera

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Pia alifurajia kupigwa picha na alikuwa mtu wa kawaida tu mbele ya kamera

Wote walianza kupiga picha tofauti ambazo Indri alikuwa na ndoto kuzihusu.

Kwa miaka kadha alishuhudia nyanya huyo akiigiza kama mwanasayasni, malkia, mwanasayansi na mambo mengine kadha.

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Kwa miaka kadha alishuhudia nyanya huyo akiigiza kama mwanasayasni, malkia, mwanasayansi na mambo mengine kadha.

Kwa miaka kadha alishuhudia nyanya huyo akiigiza kama mwanasayasni, malkia, mwanasayansi na mambo mengine kadha.

Picha hizo wakati mwingine huonyesha uhusiano ulio kati ya nyaya na mjukuu

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Picha hizo wakati mwingine huonyesha uhusiano ulio kati ya nyaya na mjukuu

Picha hizo wakati mwingine huonyesha uhusiano ulio kati ya nyaya na mjukuu, wanawake wawili ambao walikuwa wakitaka kusaidiana maishani.

Tangu picha hizi zichapishwe wanawake wengi hasa wale wazee, wameaniandika wakipongeza mradi huu

Chanzo cha picha, JASMEEN PATHEJA

Maelezo ya picha, Tangu picha hizi zichapishwe wanawake wengi hasa wale wazee, wameaniandika wakipongeza mradi huu

Tangu nichapishe picha hizi mapema Aprili wanawake wengi hasa wale wazee, wameaniandikia wakipongeza mradi huu. Pia umesifiwa na wanawake walio karibu na nyanya zao au wajukuu.