Kwa Picha: Uchaguzi wa Marekani 2016

Wapiga kura wakisubiri kwenye vituo kupiga kura zao katika uchaguzi wa urais katika mji wa Scottsdale, Arizona

Chanzo cha picha, Laura Segall / AFP

Maelezo ya picha, Zaidi ya wamarekani milioni 100 million wanapiga kura kuamua kwa kura ni nani atakayekuwa rais wao ajaye wakisimama kwenye misururu mirefu
Mgombea wa urais wa Democratic na waziri wa zamani wa mambo ya nje Hillary Clinton akiwasalimia wafuasi wake baada ya kupiga kura yake eneo la Chappaqua, New York

Chanzo cha picha, Justin Sullivan / Getty Images

Maelezo ya picha, Mgombea wa Democratic Hillary Clinton akisalimiwa na wafuasi wake pamoja na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, baada ya kupiga kura eneo la Chappaqua, New York. Kura za maoni za kitaifa zinampa ushini wa asilimia nne zaidi ya mpinzani wake wa Republican Bwana Trump.
Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump akisindikizwa na mkewe wife Melania mjini New York

Chanzo cha picha, Evan Vucci / AP

Maelezo ya picha, Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump pia alipiga kura yake na mkewe mjini New York. Wagombea wote walilenga majimbo muhimu Jumatatu, ambapo walielekezamikutano yao ya kampeni katika majimbo ya North Carolina, Pennsylvania na Michigan.
Lucille Lemkin akimsubiri mama yake alipokuwa akipiga kura yake katika Luxe Hotel, California

Chanzo cha picha, Mike Nelson / EPA

Maelezo ya picha, Mjini Los Angeles, California, mtoto mmoja wa kike akisubiri wa utulivu huku mama yake ikipiga kura.
Fabio Alvarado, mwenye umri wa miaka 91, mwenye asili ya El Salvador aliapishwa kuwa raia wa Marekani katika siku ya uchaguzi

Chanzo cha picha, Mario Anzuoni / Reuters

Maelezo ya picha, Fabio Alvarado, mwenye umri wa miaka 91, mwenye asili ya El Salvador aliyeapishwa kuwa raia wa marekani katika siku ya uchaguzi akiwasili na mkewe Marta,mwenye umri wa miaka 80, kupiga kura zao kwenye ofisi ya msajiri wa kaunti ya LA Counti mjini Norwalk, California.
Mfuasi wa Trump , akisimama nje ya kituo cha kupigia kura cha chuo kikuu cha kitaifa cha Penn Sakitumai kuwashawishi wanafunzi wenzake kumpigia kura Donald Trump

Chanzo cha picha, Jeff Swensen / Getty Images

Maelezo ya picha, Katika Chuo Kikuu cha kitaifa cha Penn mmoja wa wafuasi wa Trump akitumai kuwashawishi watu kumpigia kura Trump
Mfuasi wa Hillary Clinton Jorge Mendez of Glendale, Arizona akiwa amevaa gauni na sanamu ya Hillary Clinton

Chanzo cha picha, Ralph Freso / Getty Images

Maelezo ya picha, Mfuasi wa Hillary Clinton Jorge Mendez of Glendale, Arizona akiwa amevaa gauni na sanamu ya Hillary Clinton kuonmyesha ni nani anayemuunga mkono
Watu wakipiga kura katika Woodman of the World (WOW) Lodge wakati wa uchaguzi wa rais wa Marekani Florence, South Carolina

Chanzo cha picha, Randall Hill / Reuters

Maelezo ya picha, Wamarekani wanachagua pia wajumbe wa baraza la Congress. Wajumbe wa baraza la wawakilishi -kwa sasa linadhibitiwa na Republican - wanataka kulichukua tena ,na pia theluthi moja ya viti vya seneti ambayo pia iko mikonono mwa Republican.
Vijisanduku vya kupigia kura katika eneo la Richmond, Virginia

Chanzo cha picha, Shelby Lum/Richmond Times-Dispatch via AP

Maelezo ya picha, Majimbo yote 50 na Washington DC yanapiga kura katika kipindi cha masaa sita tofauti
A mpiga kura Kansas

Chanzo cha picha, Larry W Smith / EPA

Maelezo ya picha, Mpiga kura katika jimbo la Kansas akijiandaa kupiga kura yake katika jimbo ambalo chama Republical kimekuwa kikishinda kila mwaka tangu 1968.
Mpiga kura akiweka kijikaratasi cha ishara ya "nimepiga kura "

Chanzo cha picha, Charles Mostoller / Reuters

Maelezo ya picha, Wamarekani zaidi ya Milioni 46 million - walipiga kura yao mapema kwa njia ya posta ama katika vituo vya kupigia kura.
Douglas Hurt akiwa ameshikilia karatasi ya ujumbe wake katika mji wa Bowling Green, Kentucky

Chanzo cha picha, Austin Anthony / Daily News via AP

Maelezo ya picha, Kwa baadhi kauli za kinyama baina ya wagombea wawili zimewafanya wajihisi kukata tamaa ya kupiga kura
Mwandishi wa habari akizungumza mbele ya kamera

Chanzo cha picha, Mary Altaffer / AP

Maelezo ya picha, Kabla ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura waandishi wa habari walianza kukusanyika katika eneo la mkutano wausiku wa mgombea wa Republican Donald Trump mjini New York.
Muhudumu akiandaa bendera ya Marekani katika kituo cha mikutano cha Jacob K Javits Convention Center mjini New York

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wakati bendera ya Marekani ikipepea kote mjini kujiandaa kwa ajili ya mkutano wa kampeni wa Bi Hillary Clinton
Wageni wakijipiga picha za selfie na masanamu ya wagombea wa urais Hillary Clinton na Donald Trum

Chanzo cha picha, Bart Maat / EPA

Maelezo ya picha, Umuhimu wa uchaguzi si tu kwa wamarekani . nchini Uholanzi watu wanapiga picha na masanamu ya wagombea wa urais Hillary Clinton na Donald Trump.
Donna Deer, mfuasi wa Donald Trump

Chanzo cha picha, Michael Conroy / AP

Maelezo ya picha, Nchini Marekani kwenyewe huku matokeo ya awali yakiendelea kutolewa, watu wanakusanyika kuonyesha uunganji mkono wao kwa wagombea walio wachagua , hapa ni katika usiku wa uchaguzi katika jiji la ndianapolis
Umati wa watu katika mkutano wa kisiasa wa Hillary Clinton mjini New York

Chanzo cha picha, Justin Lane / EPA

Maelezo ya picha, Huku mfuasi wa Clinton akionyesha furaha yake.
Johanna Stiles akibeba kura zilizopigwa kwa njia ya posta katika kaunti ya Leon County, Florida

Chanzo cha picha, Mark Wallheiser / Getty Images

Maelezo ya picha, Moja ya majimbo muhimu ni Florida, ambako upinzani ulikuwa mkali na idadi ya kura za wagombea ilikaribiana sana lakini hatimae Bwana Trump alishinda.
Umati ukitazama ripoti za katika kituo cha Rockefeller Center

Chanzo cha picha, Julio Cortez / AP

Maelezo ya picha, Nje ya kituo cha Rockefeller Center- New York watu walisimama kuangalia habari za matokeo kwenye screen...
mamia ya wafuasi wa mgombea wa Democratic Hillary Clinton

Chanzo cha picha, Saul Martinez / Reuters

Maelezo ya picha, Wakati huo huo katika eneo la Brooklyn Borough wafuasi wa Hillary Clinton walikusanyika kushuhudia matokeo
Wafuasi wa Donald Trump

Chanzo cha picha, Chip Somodevilla / Getty Images

Maelezo ya picha, Wafuasi wa Trump katika mkutano wa Trump wakifuatilia matokeo yaliyoonyesha mgombea wao akifanya vema.
Wafuasi wa Hillary Clinton

Chanzo cha picha, Carlos Barria / Reuters

Maelezo ya picha, Huku katika mkutano wa Clinton hali ikiwa ya wasi wasi
Mfuasi wa Trump , akisimama nje ya kituo cha kupigia kura cha chuo kikuu cha kitaifa cha Penn Sakitumai kuwashawishi wanafunzi wenzake kumpigia kura Donald Trump

Chanzo cha picha, Jeff Swensen / Getty Images

Maelezo ya picha, Katika Chuo Kikuu cha kitaifa cha Penn mmoja wa wafuasi wa Trump akitumai kuwashawishi watu kumpigia kura Trump

All photographs are copyrighted.