Teknolojia ya simu inayotumika kuelimisha watu kuhusu utalii wa Tanzania

.
Maelezo ya video, Teknolojia ya michezo ya simu inayotumika kuelimisha watu kuhusu utalii wa Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazotegemea sana utalii katika kujipatia mapato yake, na hutumia njia nyingi kufanya hivyo.

Mwaka 2021 Rais wa Tanzania alizindua filamu ijulikanayo kama ‘The Royal Tour’ ambapo anaonyesha historia, utamaduni, chakula, na mambo mengi kuhusu nchi hiyo, ili kuvutia watalii zaidi.

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na vijana wengi nchini humo wanaotengeneza programu tumishi kusaidia jamii zao katika masuala mbalili, kama katika sekta za uchumi, elimu na afya.

Na sasa nchini humo, Mwanaume mmoja anayejulikana kama Elias Patrick @ellysbrand amebuni teknolojia ya michezo ya kwenye simu ambayo inatumika kuelimisha watu kuhusu utalii wa Tanzania.

Kufahamu zaidi Mwandishi wetu Frank Mavura amezungumza naye… Naomba uangalie kama ni ndefu maana kuna moja imekatika sasa isije kuwa ndio hii