Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Gharama za maisha: Huenda hali ikazidi kuwa ngumu zaidi wakati wa Ramadhani
Baadhi ya wafanyabiashara visiwani Zanzibar, wameelezea namna ambavyo gharama za maisha zilivyopanda kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Wameeleza kupanda kwa bei ya mchele kwa kilo imetoka 2000 mpaka 4000 huku bei ya unga ikiwa imetoka 1200 mpaka 2200.
Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alitembelea visiwani Zanzibar na kutuandalia taarifa ifuatayo:
Video:Eagan Salla