Maandamano Tanzania: 'Tuliwaona polisi waliowapiga risasi jamaa zetu'

Muda wa kusoma: Dakika 1

Kufuatia maandamano ya uchaguzi wa Tanzania yaliosababisha uharibifu wa mali na maafa, baadhi ya familia za jamaa waliofariki zimeanza kuzungumza.