Tanzania kufuzu robo fainali kombe la dunia kwa watu wenye ulemavu

Wachezaji

Timu ya taifa ya Tanzania imefuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe la dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Uturuki Tanzania ndiye mwakilishi pekee wa ukanda wa Afrika mashariki kwenye michuano hiyo na iwapo watashinda mchezo wao ujao dhidi ya Japan wataingia hatua ya robo fainali.

Maelezo ya video, Tanzania kufuzu robo fainali kombe la dunia kwa watu wenye ulemavu