Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Diego Maradona: Maisha ya nyota huyo wa zamani wa Argentina kwa picha
Umaarufu wake pekee haumtendei haki,. Diego Maradona alikuwa mchezaji mwerevu kupita kiasi katika uwanja wa mpira na mtu aliyezua utata.
Kutoka nchini anakotoka Argentina hadi ufanisi alioupata Itali, ushindi wake wa kombe la dunia na utumizi wa mihadarati uliomuangusha , tazama maisha yake katika picha.