Mashindano ya ndondi ya WBA

Bondia wa Kenya Nick Otieno na mkanda wa Afrika uzani wa super fly chama cha WBA. Alimshinda Haji Juma wa Tanzania kwa pointi pigano la raundi 12.

Fadhili Majiha wa Tanzania alimshinda Gabriel Ochieng wa Kenya na kutwaa taji la Afrika uzani wa Super Bantam.










