Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uchaguzi Nigeria 2023: Matokeo ya urais na wabunge kadri yanavyojiri
Mamilioni ya Wanigeria wanapiga kura yao kumchagua rais na wabunge wa bunge la shirikisho.
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa aina yake ambapo vyama vine viko mstari wa mbele katika uchaguzi, kinyume na awali ambapo vyama viwili pekee ndivyo vilivyokuwa na wagombea wakuu.
Licha ya vyama vya APC , Bola Tinubu anagombea, na PDP, ambacho Atiku Abubakar anagombea, kuna pia chama cha NNPP, ambacho mgombea wake ni Kwankwaso , na Peter Obi anayewania kiti hicho kwa kupitia chama cha Leba- Labor Party.
Taarifa zaidi kuhusu uchaguzi wa Nigeria:
- Ni nani yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria?
- https://www.bbc.com/swahili/articles/cqv88eq2v0po
- Changamoto zinazomsubiri rais ajaye wa Nigeria
- https://www.bbc.com/swahili/articles/cldlqq56w31o
- https://www.bbc.com/swahili/articles/ce57z67n03zo