Kwa picha: Uvamizi wa bunge Marekani

Waandamanaji wanaomuunga mkono rais Donald Trump walivamia majengo ya bunge ambapo maafisa na wabunge walilazimika kutafuta usalama wao na kusitisha mjadala wa kuidhinisha ushindi wa Biden katika mabunge yote mawili, la seneti na wawakilishi.

All pictures are subject to copyright.