Maisha ya Kobe Bryant katika picha

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant, 41, na binti yake Gianna, 13, walifariki katika ajali ya helikopta huko California. Na abiria wengine saba walifariki katika ajali hiyo.

Bryant ni bingwa wa mashindano ya NBA mara tano ,

Mchezaji huyo anaelezewa kuwa miongoni wa nyota katika historia ya mpira wa kikapu.