Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jinsi wanajeshi wa Marekani walivyopigwa viazi nchini Syria
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema kuwa ataendelea na operesheni ya kijeshi kaskazini mashariki mwa Syria "akiwa na azma kuu " ikiwa wapiganaji wa Kikurdi watashindwa kutekeleza wajibu wao katika makubaliani ya usitishaji mapigano na Marekani