Lifahamu taifa tulivu linalofuata sheria za kiislamu

Brunei's capital Bandar Seri Bagawan
Maelezo ya picha, Msikiti wenye muonekano wa dhahabu na alama ya kiarabu huwa unawapa ishara wageni kuwa wamefika Brunei

Brunei imekuwa ikitazamwa na ulimwengu juu ya uamuzi wake wa kutekeleza adhabu kali ya dini ya kiislamu pale ambapo mtu atakuta na kosa la uzinzi au uasherati ingawa ndani ya nchi hiyo kila kitu kinaonekana kuwa shwari na ipo kimya.

Short presentational grey line

Mtazamo wa kwanza ulikuwa katika mji wa Singapore.Barabara zimejengwa kwa mpangilio na kufanya mji uvutie, huku miti na majani yakipamba mji huo.

Bandar Seri Bagawan anasema mji mkuu wa Brunei uko salama ,una utulivu na kila mtu anafuata utaratibu.

Huu ni msikiti unaojulikana sana, baadhi ya watu huwa wanakuja hapa kwa ajili ya kujipumzisha na kufurahi.

Kuna ishara kubwa ya maneno ya kiarabu na picha za watu maarufu wakiwa wakiwa wamefuga ndevu zikionyesha muonekano wa sultani Hassanal Bolkiah ambao utakudhibitishia kuwa umefika Brunei.

Nchi hii ni miongoni mwa nchi chache duniani zinazofuata mfumo wa kifalme

Brunei's Sultan Hassanal Bolkiah (C) attends an event in Bandar Seri Begawan on April 3, 2019

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Sultani Hassanal Bolkiah ndio mtawala pekee wa Brunei

Sultan ndio ana mamlaka kamili ya utawala, na hasaidiwi na bunge wala wanasiasa.

Yeye ndio waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje, waziri wa ulinzi , waziri wa fedha na kiongozi wa dini ya Kiislamu nchini Brunei. Neno lake ndio sheria.

Dini ya kiislamu ndio nguzo ya Uongozi

Nchi hiyo ambayo ilikuwa koloni la Uingereza mpaka mwaka 1984, pale ambapo Sultani aliikomboa na kuifanya kuwa himaya ya kiislamu.

Utamaduni wa dini ya kiislamu bado unaendelezwa miongoni mwa watu wa Brunei kama falsafa ya kitaifa na kama panavyotambuliwa na serikali ya nchi hiyo.

Elimu ya sheria na miongozo ya kiislamu pamoja na mfumo wa utaratibu wa kifalme unapaswa kufuatwa na kuheshimiwa na kila mmoja.

Hakuna ambaye anaweza kupinga, ingawa sio watu wote wa Bruneia ni wana asili ya Malaysia na asilimia 80 ya idadi ya watu katika nchi hiyo , waislamu ni wachache kuliko idadi kubwa ya watu wa Indonesia.

Bandar Seri Bagawan

Tangu taifa hilo lipate uhuru , Sultan ameifanya nchi hiyo kutekeleza masharti magumu ambayo yapo kwenye sheria ya kiislamu.

Dominik Mueller ni mtaalamu wa dini ya kiislamu huko Kusini Mashariki mwa Asia kutoka taasisi ya ;Social Anthropology' huko Halle, Ujerumani,nay eye ni miongoni mwa watu ambao wamesoma kwa ukaribu juu ya Brunei.

Brunei oil monument

"Sultani aliweka juhudi za kuigeuza nchi hiyo kuwa ya kidini zaidi katika karne tatu zilizopita tangu alipofanya ziara yake ya kwanza huko Mecca mwaka 1987.

Tangu wakati huko, amekuwa akiweka mkazo wa kuanzisha sheria ya ambazo Mwenyezi Mungu alitaka zifuatwe ili baraka ziendele kuwepo na hata baada ya kifo.

Serikali inafuata maelekezo ya Kiongozi huyo wa dini.Ushawishi wa dini ya kiislamu hauwezi kupingwa . Viongozi wake tayari wameuambia utawala huo wa kifalme kwa muda mrefu kuwa lazima kila mtu afuate sheria za Mungu kama zinavyoelekeza" Dominik aliiambia BBC.

Friday prayers in Brunei

Bwana Muller aliongeza kuwa anafikiri Sultani anaona jambo hili kuwa lake binafsi , labda kuna wakati ambao ataona kuwa kuna haja ya kuwa wanasiasa watakaohitajika kumuunga mkono ili kuhakikisha kuwa sheria za kiislamu zinatekelezwa na wengine wakiwa wanapinga uhalali wa utawala huo.

Brunei haijaruhusu mtu yeyote kupinga na hakuna uhuru wa kufanya hivyo tangu uhuru upatikane katika taifa hilo.

Vyombo vya habari pia haviwezi kutoa taarifa zozote kwa uhuru katika taifa hilo tangu mwaka 2016. Sheria kadhaa ziliwekwa ili kuzuia serikali kukosolewa.

Hivyo kuwafanya hata waandishi wa habari kupata wakati mgumu kutembelea taifa hilo.

Watu wa taifa hilo ni wakarimu kiasili.

Lakini hawawezi kueleza chochote juu ya sheria ambazo zinatekelezwa kwatika taifa lao.

'Wamezoea maisha hayo'

People leave after listening Brunei's Sultan Hassanal Bolkiah's speech during an event in Bandar Seri Begawan on April 3

Chanzo cha picha, Getty Images

Kiongozi mmoja wa kundi moja la kiislamu alisema kuwa , Hakuna anayeamini kuwa sheria mpya ya adhabu ya kifo inatekelezwa.

Lakini wananchi wa hapo wamegawanyika katika kuielewa sheria hiyo inavyotekelezwa kwa watu wenye mapenzi ya jinsia moja.

Kama mtu mwenye mapenzi ya jinsia moja hajionyeshi au hajitangazi basi sheria haiwezi kumfikia.

"Hatujakosa mahitaji yetu muhimu", aliongeza. "Hatujakosa ajira wala kupata elimu, kwetu maisha ni mazuri na yapo kawaidia".

Ingawa ana hofu kuwa watu wengi wataanza kuwa na hofu juu ya sheria hiyo mpya ya kunyongwa.