Afghanistan yaomboleza shambulizi la Taliban ambapo zaidi ya wanajeshi 100 waliuawa

Serikali ya Afghanistan inapambana na Taliban

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Serikali ya Afghanistan inapambana na Taliban

Afghanistan inaomboleza kitaifa baada ya mauaji yaliyofanywa na Taliban Ijumaa, katika kambi ya jeshi, karibu na mji wa Mazar-i-Sharif, kaskazini mwa nchi.

Wakuu wanasema wanajeshi kama 140 waliuawa wakati wapiganaji walipovamia kambi hiyo, huku wakifyatua risasi wakati wanajeshi wanatoka msikitini na wale waliokuwa mkahawani.

Rais Ghani aliwatembelea walle waliojeruhiwa

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Rais Ghani aliwatembelea walle waliojeruhiwa

Msemaji wa Taliban alielezea shambulio hilo kuwa la kulipiza kisasi, kwa viongozi wao waliouwawa hivi karibuni.

Maafisa wanasema kuwa kuwa idadi ya wanajeshi waliouawa huenda ikafikia 140

Maafisa wanasema kuwa kuwa idadi ya wanajeshi waliouawa huenda ikafikia 140

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Maafisa wanasema kuwa kuwa idadi ya wanajeshi waliouawa huenda ikafikia 140