Gereza la kale lenye 'meno ya binadamu' katika sakafu yake

Ni jengo lililotumika kama gereza la washukiwa wa 'uhalifu' mbalimbali, huku adhabu ya kikatili zikitolewa kwao.

Baadhi ya waliopelekwa katika gereza hilo miaka 200 iliyopita ni pamoja na wanawake ambao walipata watoto nje ya ndoa.

Mwandishi wa BBC Seif Abdalla Dzungu alitembelea Gereza hilo lililopo kusini mwa pwani ya Kenya na kuandaa taarifa hii.