Oparesheni ya kuwakamata wezi wa mifugo nchini Kenya

Operesheni ya usalama inayohusisha vikosi vya jeshi na polisi nchini Kenya inayowalenga majangili na wezi wa mifugo, katika eneo la kaskazani imeanza.