Oparesheni ya kuwakamata wezi wa mifugo nchini Kenya

Maelezo ya video, Kenya: Operesheni ya usalama wa mifugo

Operesheni ya usalama inayohusisha vikosi vya jeshi na polisi nchini Kenya inayowalenga majangili na wezi wa mifugo, katika eneo la kaskazani imeanza.

mm