Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je, unajua hatari za kutafuta dalili ya ugonjwa na dawa kwenye Google?
Katika miaka ya hivi karibuni madaktari na wauguzi wamekuwa wakikutana na wagonjwa wenye taarifa nyingi kuhusu dalili na tiba au dawa za magonjwa mbali mbali wanaoyohisi kuugua.
Ni dhahiri kwamba Muda ambao daktari angegundua ugonjwa wako umebadilika, na sasa wagonjwa wanauliza 'Google Doctor' na kumwambia daktari ugonjwa huo ni nini.
Huu ni mfano wa mazungumzo kati ya mgonjwa na daktari wa Google au Google doctor:
Mgonjwa : Nina homa kwa siku mbili na koo. Nilisoma kwenye mtandao kwamba ni rhinitis ya virusi ambayo hutokea wakati wa monsoons.
Daktari : Sasa ninatoa antiparasitic kwa homa na dawa kwa ajili ya baridi, ikiwa homa itaendelea basi unaweza kufanya vipimo vya damu.
Mgonjwa: Najua dawa hizi zitatolewa, Dkt. Nimeona pia taarifa hiyo kwenye mtandao.
"Wagonjwa hutafuta na kusoma kuhusu dalili zao kwenye mtandao na kujua ugonjwa wanaohisi kuwa nao ni nini.
Wamefanya kazi yetu kuwa rahisi sana," anasema Daktari Ashwin kwa kejeli.
Kuwa na habari zote zinazopatikana kwenye vidole vyetu imefanya maisha yetu ya kila siku yawe rahisi kwa njia nyingi, lakini kuna hatari katika kutegemea tu kwenye mtandao kupata habari za matibabu.
Hivi karibuni, katika eneo la Tiruparangunram, Madurai nchini India, ripoti zimeibuka kuwa mtu alijiua kwa sababu ya hofu ya kuona habari kwenye mtandao. Imeripotiwa kuwa mtu aliyekwenda hospitali kutokana na afya yake mbaya alikuwa na chumvi nyingi mwilini mwake.
Alisoma kwenye mtandao kuhusu nini kinatokea ikiwa mtu ana chumvi nyingi mwili . Inasemekana kwamba alijiua kwa hofu baada ya kusoma kwamba taarifa aliyoipata kwenye mtandao ilisema kuwa viungo vyote vinaweza kuathiriwa kutokana na chumvi nyingi mwilini.
ile vile, matukio ya uchungu vya wanawake wajawazito kujifungua nyumbani baada ya kutazama YouTube na kufa kwa kutokwa na damu nyingi kutokana na kuepuka hospitali ni vya mara kwa mara.
Habari zinapatikana kwenye tovuti kuanzia dawa za viwandani hadi dawa ya mitishamba . Mwelekeo wa kutegemea mtandao badala ya kutegemea madaktari kwa magonjwa ya kimwili umeoneka kuwa tatizo jipya, wanasema madaktari.
Madaktari wanasema kuwa hali kama tu kwa wvijana bali kwa watu wa kati ya umri wa miaka 18 na karibu 45.
Utafiti wa 2021 uligundua kuwa 71.8% ya Wamarekani hupata habari za afya kutoka kwenye majukwaa ya tovuti za kibiashara. Zaidi ya hayo, inasema kuwa 11.6% ya watu hutafuta habari za matibabu moja kwa moja kupitia mtandao, kama vile Google, 11.1% kutoka kwa tovuti za utafiti, na 5.5% kutoka kwenye tovuti za serikali. Si ajabu, hali kama hiyo ipo nchini miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki.
Poorna Chandrika, profesa mwandamizi katika hospitali ya magonjwa ya akili huko Kilpakkam, Chennai, anasema kwamba siku hizi kila kitu hutolewa na maelezo na kuongeza kuwa , "Usitafute na kusoma habari yoyote kwenye mtandao kwa wiki mbili."
"Nilimpa mtu dawa kwa ajili ya mabadiliko ya kihisia. Dawa hiyo hutolewa ili kuzuia kifafa. Baada ya kusoma kuhusu dawa hiyo kwenye mtandao, mgonjwa huchanganyikiwa na kuwa na wasiwasi kwa nini anaaagizwa kutumia dawa ya kifafa.
Baadhi ya wagonjwa wanaweza hata kupata tabia ya kuacha kutumia dawa kwa sababu ya habari kama hiyo. Hii inaongeza tu matatizo ya wagonjwa na mzigo wa kazi kwa daktari," anasema.
"Usitumie Google kwa muda wa wiki mbili" - ushauri wa madaktari
Anasema kuwa sio Google tu sasa imejiunga na orodha hii lakini pia Sat GBD mtoa huduma mpya.
Huku akikiri kwa matumizi ya Chat GPD, Dk Ashwin anasema matumizi ya akili bandia katika dawa hayatakuwa sawa na yale yanayotolewa na daktari.
"Kwenye Chat GPD, ukiingiza dalili zako, Chat GPD itakupa orodha ya magonjwa gani unaweza kuwa nayo. Lakini ni kwa kwenda kwa daktari tu ndipo unaweza kupata taarifa sahihi kulingana na umri wako, jinsia na maradhi ya pamoja," anasema.
Usitumie Google kwa muda wa wiki mbili" - ushauri wa madaktari
Poorna Chandrika, profesa mwandamizi katika hospitali ya magonjwa ya akili huko Kilpakkam, Chennai, anasema kwamba siku hizi kila kitu hutolewa na maelezo na kuongeza kuwa , "Usitafute na kusoma habari yoyote kwenye mtandao kwa wiki mbili."
"Nilimpa mtu dawa kwa ajili ya mabadiliko ya kihisia. Dawa hiyo hutolewa ili kuzuia kifafa. Baada ya kusoma kuhusu dawa hiyo kwenye mtandao, mgonjwa huchanganyikiwa na kuwa na wasiwasi kwa nini anaaagizwa kutumia dawa ya kifafa.
Baadhi ya wagonjwa wanaweza hata kupata tabia ya kuacha kutumia dawa kwa sababu ya habari kama hiyo. Hii inaongeza tu matatizo ya wagonjwa na mzigo wa kazi kwa daktari," anasema.
Mwelekeo mwingine maarufu kwenye mtandao ni chakula. Kuna mafuriko ya habari kwenye mtandao kuhusu lishe mbali mbali kama Paleo Diet, Keto Diet, na kufunga kwa vipindi.
Mtaalamu wa lishe Daphne Lovesley anaorodhesha madhara mabaya ambayo wagonjwa wanaweza kupata kutokana na kutumia taratibu hizi bila ushauri sahihi wa matibabu.
"Kisukari kinaweza kutodhibitika, mabadiliko ya mfumo wa utendaji hutokea katika mwili, na pia upungufu wa kalsiamu, upungufu wa protini unaweza kutokea," anasema.
"Kitu ambacho kilimtokea mtu mmoja mahali fulani huenda kwenye mtandao.
Je, unaweza kufuata utaratibu wa chakula cha kupunguza uzani wa mwili wa kupindukia kwenye mtandao?
Wakati wa kipindi cha uzazi, tabia ya kutafuta na kusoma habari kwenye mtandao ni ya kawaida zaidi kati ya wanawake wachanga ambao ni wajawazito kwa mara ya kwanza.
"Kutafuta habari kwenye mtandao ni upanga wenye makali mawili," anasema daktari wa uzazi Josephine Wilson.
Itakuwa muhimu kwa daktari kujua habari kuhusu kujifungua mapema kwa mwanamke baada ya kusoma kwenye mtandao. Hatahivyo inakuwa changamoto wakati habari inatafsiriwa vibaya, anasema.
Anasema kuwa sio Google tu sasa imejiunga na orodha hii lakini pia Sat GBD mtoa huduma mpya.
Huku akikiri kwa matumizi ya Chat GPD, Dk Ashwin anasema matumizi ya akili bandia katika dawa hayatakuwa sawa na yale yanayotolewa na daktari.
"Kwenye Chat GPD, ukiingiza dalili zako, Chat GPD itakupa orodha ya magonjwa gani unaweza kuwa nayo.
Lakini ni kwa kwenda kwa daktari tu ndipo unaweza kupata taarifa sahihi kulingana na umri wako, jinsia na maradhi ya pamoja," anasema.
"Ikiwa mwanamke mjamzito wa miezi miwili atatokwa na damu, Google itaripoti mara moja kama mimba.
Lakini hii si kweli kila wakati. Kusoma habari potofu kunaweza kusababisha mafadhaiko na udanganyifu kwa daktari.
Hatahivyo anasema wanawake wajawazito wanaweza kusoma kuhusu mafanikio ya kujifungua katika mtandao na kusoma vitabu vizuri kuhusu kujifungua.
"Usijilinganishe na habari inayopatikana kwenye mtandao ," anasema Dk Joswin Wilson.
Mwelekeo mwingine maarufu kwenye mtandao ni chakula. Kuna mafuriko ya habari kwenye mtandao kuhusu lishe mbali mbali kama Paleo Diet, Keto Diet, na kufunga kwa vipindi.
Mtaalamu wa lishe Daphne Lovesley anaorodhesha madhara mabaya ambayo wagonjwa wanaweza kupata kutokana na kutumia taratibu hizi bila ushauri sahihi wa matibabu.
"Kisukari kinaweza kutodhibitika, mabadiliko ya mfumo wa utendaji hutokea katika mwili, na pia upungufu wa kalsiamu, upungufu wa protini unaweza kutokea," anasema.
"Kitu ambacho kilimtokea mtu mmoja mahali fulani huenda kwenye mtandao.
Je, uchunguzi wa afya unahitajika kwa kila mtu?
Ni nini athari za wanawake wajawazito kutafuta habari kwenye mtandao
Wakati wa kipindi cha uzazi, tabia ya kutafuta na kusoma habari kwenye mtandao ni ya kawaida zaidi kati ya wanawake wachanga ambao ni wajawazito kwa mara ya kwanza.
"Kutafuta habari kwenye mtandao ni upanga wenye makali mawili," anasema daktari wa uzazi Josephine Wilson.
Itakuwa muhimu kwa daktari kujua habari kuhusu kujifungua mapema kwa mwanamke baada ya kusoma kwenye mtandao. Hatahivyo inakuwa changamoto wakati habari inatafsiriwa vibaya, anasema.
Madaktari wanasema wanawake wajawazito wanaweza kusoma kuhusu kujifungua kwa mafanikio.
"Ikiwa mwanamke mjamzito wa miezi miwili atatokwa na damu, Google itaripoti mara moja kama mimba.
Lakini hii si kweli kila wakati. Kusoma habari potofu kunaweza kusababisha mafadhaiko na udanganyifu kwa daktari.
Hatahivyo anasema wanawake wajawazito wanaweza kusoma kuhusu mafanikio ya kujifungua katika mtandao na kusoma vitabu vizuri kuhusu kujifungua.
"Usijilinganishe na habari inayopatikana kwenye mtandao ," anasema Dk Joswin Wilson.
Dokta Ashwin anatoa mfano mwingine wa kwa nini usitegemee mtandao kwa habari za matibabu.
"Kama mtu ana kiwango cha chini cha seli nyekundu za damu, hutafuta mtandao kwa 'Low Hb'. Ikiwa unatafuta kama hiyo, nakala ya kwanza ambayo huipata mtandaoni ni kuhusu saratani ya damu.
"Makala yoyote inayosomwa zaidi kwenye mtandao, maneno muhimu ambayo yanatafutwa zaidi yatakuja kwanza," anaelezea.
Dk Ashwin anasema kuwa kutakuwa na taarifa sahihi za matibabu kwenye mtandao na taarifa za uongo, na unaweza kumuuliza daktari ni tovuti gani sahihi.
Je, uchunguzi wa afya unahitajika kwa kila mtu?
"Pia kuna watu wengi ambao wanaangalia kwenye mtandao na kwenda maabara na kufanya vipimo wenyewe. Siku hizi, kila mtu anafanya uchunguzi wa afya na kuamua wenyewe ni aina gani ya ugonjwa ambao wanaweza kuwa nao kulingana na matokeo wanayopata.
Kwa ujumla vijana, wafanyakazi wa IT, wanafunzi wa chuo kikuu cha umri wa miaka 18 hadi 45 wanaamini mtandao zaidi. "Labda zaidi ya miaka 45, thamani ya afya ya kimwili na pesa inaonekana," Ashwin alisema.