Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Fahamu simu yako inahusika vipi na Mgogoro wa DRC?
Muda wa kusoma: Dakika 1
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa.
Tantalum iliyo ndani ya kifaa cha simu na vifaa vifaa vingine vya kielekroniki hutokana na madini ya Coltan ambayo kwa kiasi kikubwa yanatoka mashariki kwa DRC. Katika kipindi cha mwaka uliopita, M23 imeteka kwa haraka eneo lenye utajiri mkubwa wa madini hayo.
Munira Hussein anasimulia...